Rapper Kanye West ana mpango wa kujiingiza kwenye biashara ya ndoto zake ambayo ni kurekodi watu wakifanya mapenzi mbele ya camera.
Tayari mambo za studio zinaendelea na kwenye hio brand yake...
Wakuu,
Sasa hivi nimetulia ghetto nikipata kusikiliza gospel za hao watu wawili ,fanuel sedekia na Angela muriri chibalonza
Nimegundua hao watu walikuwa mbele ya muda.
Itachukua muda sana kuziba...
Hivi marehemu Gadner G Habashi alikua namtoto mmoja tu ambae ni malkia Caren? Naulizia hivi kwa maana ndie anaepewa pole pekee kila mahali hasa kupitia mitandao ya kijamii.
Nimeona clip fupi ya harmonize na mwakinyo wakitaka kuzichapa Gym sijajua kama kuna wimbo mpya au kuna event ya ngumi inataka kufanyika ila ukweli useme bangi siyo nzuri jamaa harmo anafeli sana...
kuna habari kwamba yule miss TZ 2006, Wema Sepetu ameanza kuchanganyikiwa. Wiki iliyopita alimfanyia fujo mpenzi wake wa zamani ambaye ni msanii wa maigizo nchini Steven Kanumba na kuvunja vioo...
Kesi ya mauaji inayomkabili muigizaji wa filamu bongo Elizabeth Michael (Lulu) imeendelea kusikilizwa hii leo katika Mahakama Kuu jijini Dar es salaam, kwa upande wa mshataka kuanza kutoa ushahidi...
Mtangazaji wa kituo cha radio cha Clouds Media Gardner Habash ndiye mtangazaji anayelipwa mshahara mkubwa zaidi kuliko watangazaji wote wa radio nchini Tanzania.
Kiasi anacholipwa kinabaki kuwa...
Nimefuatilia Msiba wa huyu Jamaa, Mtangazaji wa Clouds aliyetutoka juzi na kuagwa leo Leaders Club, Leo ndio nimewajua wabongo wanaojiita watu maarufu, yaani kichefuchefu kuliko kichefuchefu cha...
Ukweli ni kua Wasanii walioko chini ya Label ya Wcb wananyimwa Fursa kupata Promo ya Media kubwa Kama Clouds, E-fm na Eatv&radio Zinazosikika Mikoa mingi Hapa Tanzania
Ukiangalia kwa Jicho la...
Nimesikiliza huu wimbo japo kajaribu kusound kama Nick Minaj au Cardi B lakini kiukweli kujitahidi sana kuflow kizungu ambacho wengi wetu wanashindwa kwani hata wakiandika vizuri mistari ya...
Mie si mpenzi wa WCB lakini ukweli usemwe toka jamaa ameanza kutoa amapiano zote zimehit kuliko kawaida. Hakuna msanii anaeweza kutoa ngoma back to back kama alivyofanya jamaa kuanzia...
Habari wakuu
Hivi mbona msanii chid benz haponi kile kidonda chake cha mguuni maana tangu ameanza kuumwa kile kidonda sasa yawezafika mwezi wa nne au watano, nini tatizo?
Maana Jana kapanda...
Wewe fikiria utembeee mwaka mzima peku na kusafiri peku nani anaweza hilo?
Mimi najuwa ili upate kibali kuna gharama za kulipia kibali hakiji hvhivi japo Kuna bahati pia.
Je, umewahi kujiuliza kama wewe na mwenza wako mnaweza kushirikiana kibiashara?
Navy Kenzo wametoka mbali katika safari yao ya mahusiano na muziki.
Mwaka 2008, Aika na Nahreel walikutana na...
Salute.
Kuna wakati huwa najiuliza sana juu ya huyu jamaa, aliwahi kuwa marufu sana hadi mwishoni mwa miaka ya 2011 kama sijakosea. Ni muda sasa sijawahi kusikia anaendeleaje. Sijui nani...
WAGOSI WALIINGIA DAR KAMA BARUA YENYE STAMP NA CARE OF
Wagosi wa Kaya ni kikundi cha wanamuziki kutoka Tanzania, kilichoanzishwa mwaka 1996 na John Simba (Dr John) na Frederick Mariki...
Ni dhahiri sehemu pekee atakayoalikwa Diamond ni ile inayohusu msanii mwingine wa Wasafi la sivyo huwezi sikia Diamond kawa invited kwenye event yeyote ile.
Clouds,EFM na Tv nyingine hawapigi...
Mr. NICE ALIWIKA sana lakini anaonekana ni Mzee wa maneno ya kujisifia sana, kumekuwa na takwimu zisizo eleweka za mauzo ya kazi za wasanii hapo zamani. Huku Mr. Nice akitamba kwamba yeye aliuza...