Wakati wa maonesho ya FIFA Countdown Concert yaliyofanyika jijini Los Angeles, msanii maarufu wa Nigeria Davido alivutia hisia za wengi baada ya kuvaa koti maalum lenye ujumbe "Bring Them Home" na...
Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU
Ndani Kuna mpaka maji ya kandoro anapewa mke wa tajiri anywe, hahaaaaaa ila hii dunia hii
Sasa hapo mgerasi kama MIN-me akiiitazama...
Awali ya yote nitangulize angalizo kwa vijana ambao maturity stage imewakuta miaka hii ya mitandao ya kijamii. Itabidi msome kimyakimya huku mkiwa mmeshika peni na karatasi kuchukua notes.
Huu...
Jana Hassan Mwakinyo Ilibaki kidogo wamuue ulingoni. Akakimbia round ya tisa. Kuna mwamba anaitwa Michel Soro uko kamdunda hatari
.
Next time wawe wanafungana miguu kama hivi mtu asikimbie kimbir...
Hatimaye mwenyezi Mungu ameamua kujidhihirisha wazi kupitia kwa aliyekuwa beautiful onyinye miaka ya nyuma na mrembo aliyependwa sana na watanzania.
Wema Isack Sepetu wakati wa huko nyuma aliwahi...
I salute you kinsmen.
Mimi sio kijana wa zamani kwamba najua nyimbo za zamani hasa hizo rhumba sijui zouk ila nikiri nilizipenda nyimbo hizi kutoka kwa mzee wangu ambaye alikuwa anazipenda sana...
Tasnia ya sanaa ya maigizo nchini Tanzania imegubikwa na simanzi kufuatia taarifa za kifo cha muigizaji Mkongwe Issa Joseph maarufu Mzee Onyango.
Mzee Onyango alikuwa miongoni mwa wasanii...
Siku chache zilizopita kulitokea misiba miwili ,Spark na Hashim Kambi lakini cha kusikitisha zaidi wasanii/watu maarufu waliojitokeza kuzika ni wachache mno locha ya ukongwe wao.
Pia Juma Nature...
Ilikua ni siku tulivu, ambapo watu walikua wakisherekea, happy birthday ya wema sepetu,
ULIPO fika muda wa wasaa wa mzazi, mama wema alieshika, kipaza sauti, nakubadili furaha ya wema kuwa...
Tujikumbushe watu maarufu kama wanasiasa, wanamuziki, wacheza filamu nk ambao hawakuwahi kupata watoto wa kuwazaa katika maisha yao hapa Duniani.
Wanaweza wakawa ni kutoka hapa Bongo au nje ya...
Deadline day shoking transfer
Naam wakati people wapo bize kufatilia siku ya mwisho ya usajili wa majira ya baridi kwenye soka mara inaibuka taarifa bingwa mara 7 wa mashindano ya mbio za magari...
Kumekuwa na Inshu Moja critical ambayo inatrend Sana, Msanii wema amefanikiwa kupata mtoto Kwa mara ya Kwanza hongera kwake na Kwa mume wake.
Wema Sepetu amekuwa na shida kubwa ya kupata...
Baadhi ya blogs za Brazil zimedai kama Andrey Countinho wa Dar young african angeitwa national team hakika ile adhabu ya jana wasingeipata.
Lawama zilimuendea zaidi Maximo kwa kulileta kinda hilo...
Ile nyimbo ya shilole na jlo au kama mwenyewe anavyomuita jeniffer ropez, ni nooma
mr maatope nakuletea exlusive nyuzi maana nimebahatika kuisikiliza, nyoka wote watakaa ni soooooo
stay tuned...
Habari zilizotapakaa magomeni ni kwamba mtangazaji mmoja wa clouds fm na clouds tv alikuwepo siku ile zungu la unga chonji lilipovamiwa na polisi.
Inasemekana na yeye alikuwa anapaki mzigo ila...
Anayebisha abishe tu lakini hakuna MTZ maarufu nchini Belgium kama shishi baby au shilole ambako aliangusha show kali iliyohudhuriwa na watu 28,000 jijini Antwerp kiasi kwamba haters wa huku Bongo...
Mwaka jana nilikuletea exclusive ya wachezaji watatu wa team ya Stuttgart ya Germany waliosimamishwa kwa kosa la kutoroka hotelini kuhudhuria show ya Diamond lakini ya leo ndio kali na kubwa...
Kingwendu: Ningepewa airtime ningekuwa level moja na Diamond na Alikiba
Mchekeshaji maarufu nchini, Kingwendu amesema kama nyimbo zake zingepata promotion ya kutosha, angekuwa anashindana na...