Nakupa homework; nitajie wimbo wa Ngwair akilia kuteswa na mapenzi. Nioneshe ngoma ya Albert Mangweha, akilalamika maisha yamempiga mpaka akakata tamaa. Ukipata, nitakwenda Kihonda, Morogoro...
Albert Mangwair
Kupitia mahojiano aliyofanya Skywalker Fredrick Bundala na Makaveli aliyekuwa mmiliki wa ghetto ambalo msanii mkali wa freestyle Ngwair akiishi amefunguka mengi kuhusiana na...
Pongezi kwake Naseeb Abdul kwa kuamua kuvunja kibubu kumsomesha mtoto wao yeye na Tanasha Donna aende kupata elimu bora yenye hadhi ya juu, Kama ulikuwa unajiuliza kina Mo walisoma wapi, kina...
Msanii wa Kenya Eric Omond ni zaidi ya WASANII wote wa hapa bongo.
OMONDI amejawa na weledi na kujiamini mno hivyo kutokuwa mpiga zumari.
Ebu sikilizeni anavyo pinga msaada wa fedha unaotarajiwa...
Komasava ya diamond inazidi kumpa mashavu zaidi baada tu ya chriss brown kuucheza wimbo wake na kuwa gumzo duniani kutokana na ukubwa wa breezy. Jason derulo amekubali kufanya wimbo na diamond...
Mnyonge mnyongeni jamani ila haki yake mpeni.
Huyu bwana mdogo Diamond Platunumz amefanya mambo mengi makubwa makubwa sana hapa nchini kuliko hata viongozi wemye dhamana hiyo tena amemzidi hata...
Muigizaji na muimbaji Sabrina Omary (Sabby Angel) ambaye aliwahi kuwa mpenzi wa Bob Junior ,na aliwahi kuwa katika bifu zito na Zarina Hassan kisa Diamond .
Sabby aliwahi kumtambia Zari kwamba...
Mwanadada Jacqline Wolper ambaye aliwahi kudondoka dhambini na Diamond Platnumz miaka kadhaa iliyopita kabla hajaenda kusuguliwa vilivyo na mmakonde wa mtwara Harmonize kisha kutemwa vibaya na...
Hili suala la wimbo wa Diamond Platnumz kuchezwa na Chris Brown linadhihirisha ni kwa kiasi gani hii nchi ina maajabu ulimwenguni.
Yani leo kila sehemu unayopita ni Chris Brown kampost Diamond...
Nimekutana na hii Mahali mke wa mchungaji shusho anataka kupindisha sheria ya mtu mzima isiwe kwanzia miaka 18. Adai aliolewa akiwa mtoto na mume hana mchango kwenye mafanikio yake.
Jamani na...
Eid al Adha mubarak wana JF
Jamani mwenye ubuyu kamili wa Menina na anayedaiwa kuwa alikuwa mumewe wamezaa mtoto ana kama miezi miwili mitatu, atupashe[emoji33][emoji33]
Nasikia bi dada ni...
Kila mmoja kachukua uamuzi wa kuungana na nabii kwa sababu zake.
1. Tuanze na sababu za Gigy money [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
"Nilipagawa na Nabii ndio maana nimekuja Kanisani"-...
Habari njema kwa Team Nandy na habari mbaya kwa team Diamond Platinumz.
Msanii Nandy ameendelea kushika namba moja kwenye Trend za Youtube licha ya staa Diamond platnumz kutoa video ya wimbo wake...
1. Jokate Mwegelo - Washngton DC, Marekani mwaka 1987.
2. Haji Sunday Manara - Uholanzi, mwaka 1975.
3. Ruge Mutahaba ( R.I.P) Marekani, mwaka 1970.
4.........
5.........
Twende kazi
Alianza kama anatania vile mara... "... oooh kunywa pombe sio dhambi.." kumbe mzee wa upako alikuwa anagida bapa huku anaombea na kupaka mafuta ya 'upako' wagonjwa na wenye shida mbalimbali...
Masaa kadhaa yaliyopita Kendrick Lamar ametoka kufanya show ya kibabe sana kwenye viunga vya Los Angeles California. Show hiyo ilipachikwa jina la POP OUT - KENNY AND FRIENDS CONCERT.
Mastaa kibao...
Hivi hili group la BDP (Big Dog Pose) lilikuwa linajumuisha watu gani kwa maana ya majina yao na je wako wapi kwasasa?
Nilikuwa na sikiliza Ngoma zao Kama Rudi, majobless na ile Walio...
Naam wakuu,nimejiuliza hili swali baada kufuatilia mwenendo wa ufanyaji kazi wa kituo Cha televisheni kinachomilikiwa na msanii diamond,hasa nikilinganisha na kiwango Cha usikivu wa kituo hicho...
Mwijaku ambaye ni miongoni mwa watia nia waliojitokeza kuomba ubunge kwa tiketi ya CCM, amefikishwa kwenye Mahakama ya Hakimu Mkaazi Kisutu kwa kusambaza picha za utupu kwenye mtandao wa Whatsapp...