Jackline Wolper: Pengo langu linanisaidia kupata mabwana.

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Sep 7, 2016
17,415
21,110
Mwanadada Jacqline Wolper ambaye aliwahi kudondoka dhambini na Diamond Platnumz miaka kadhaa iliyopita kabla hajaenda kusuguliwa vilivyo na mmakonde wa mtwara Harmonize kisha kutemwa vibaya na kuokotwa na Brown ambaye naye pia amemtema , amedai kuwa kitu pekee kinachomsaidia kuvutia madanga ya kumkuna vilivyo na kumpatia pesa za matumizi ni pengo lake ambalo ametumia gharama kubwa kwenda kulitengeneza South Africa.

Screenshot_2017-12-19-01-50-29.jpg

Screenshot_2017-12-19-01-50-17.jpg

Ila huyu bi dada naye hana lolote, anajiita pengo danga na anang'ang'ana kutengeneza meno wakati huko chini kuna hali mbaya kila anayempata anamkimbia kutokana na harufu kali isiyovumilika .

Cc Wambeya mje tuumung'unye ubuyu wa kulalia.
 
Mwanadada Jacqline Wolper ambaye aliwahi kudondoka dhambini na Diamond Platnumz miaka kadhaa iliyopita kabla hajaenda kusuguliwa vilivyo na mmakonde wa mtwara Harmonize kisha kutemwa vibaya na kuokotwa na Brown ambaye naye pia amemtema , amedai kuwa kitu pekee kinachomsaidia kuvutia madanga ya kumkuna vilivyo na kumpatia pesa za matumizi ni pengo lake ambalo ametumia gharama kubwa kwenda kulitengeneza South Africa.

View attachment 654149

View attachment 654150

Ila huyu bi dada naye hana lolote, anajiita pengo danga na anang'ang'ana kutengeneza meno wakati huko chini kuna hali mbaya kila anayempata anamkimbia kutokana na harufu kali isiyovumilika .

Cc Wambeya mje tuumung'unye ubuyu wa kulalia.
IMG-20171218-WA0034.jpg
sijui naye yumo?
 
Pengo south usikute kariakoo shimoni kule bongo movie sio wa kuwaamini Ila watu walimuharibia kwa yule mcongo wolper alitulia bana no drama
 
eti Mmakonde wa Mtwara, hivi Ukabila utaisha lini au wivu mwenzio kashamtia dude
 
Back
Top Bottom