Kundi la Big Dog Pose linajumuisha watu gani?

neurosurgeon

JF-Expert Member
Sep 22, 2015
361
313
Hivi hili group la BDP (Big Dog Pose) lilikuwa linajumuisha watu gani kwa maana ya majina yao na je wako wapi kwasasa?

Nilikuwa na sikiliza Ngoma zao Kama Rudi, majobless na ile Walio shirikiana na Mr II, lady jay dee inaitwa Mda mrefu. Kwenye Hilo group kuna jamaa anajiita computer ni hatari sana.
 
Kuna mnyakyusa mmoja anaitwa Drezy Chief ni mkali sana huyu jamaa, anachana ile kinomanoma.

Kuna mrangi mmoja hapo wa kuitwa Issa, anachana ile laana

Kuna msandawe mmoja wa kuitwa Computer, ana goma lake linaitwa mwezi wa misukosuko.

"... mpenzi nakuita, uje tuishi tena..." rudi mpenzi hiyo enzi hizo.

Kuna goma lao linaitwa "KITAMBO KIDOGO" nimelitafuta hadi basi na sijalipata hadi dakika hii.
 
Back
Top Bottom