Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Mi ningekua shilole ningeona aibu sana. Sijui niseme ni shilole au ni uyu kijana ila kuna mmoja wapo anaupungufu wa akili ndo mana kakosa aibu.
7 Reactions
59 Replies
4K Views
Mariah Carey appears with her mother Patricia and daughter Monroe during a ceremony honoring her with a star on the Hollywood Walk of Fame in Los Angeles on Aug. 5, 2015. Staa wa Muziki, Mariah...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Inakuwaje Wanajamvi! Influencer/Mhamasishaji na mchekeshaji maarufu nchini Mwijaku amefanya jambo ambalo siyo sahihi na kinyume na maadili kwa kumshikashika miguu inayovutia na inayotamanisha...
5 Reactions
40 Replies
3K Views
Akisha vunja ungo she will become a stranger to you. Utabaki unashangaa na kujiuliza, hivi huyu ndio binti yangu yule yule alie kuwaga ananisikiliza na kunitii kwa kila jambo alipokuwa na miaka...
74 Reactions
184 Replies
14K Views
Hivi huyu mtoto wa Neymar mnamuonaje wazee, mwanetu hajapigwa kweli hapa? Hata kama mama ni mzungu pure, sijawahi kuona mtoto chotara akachukua sifa za mzazi mmoja tu
11 Reactions
61 Replies
4K Views
50 Cent alifunguka kuwa moja kati ya vitu vingi anavyovipenda ni kuwakataa wanawake wanaojirusha kwake, kwa sababu pia wanafurahia kukataa wanaume wa kawaida. Anafanya hivyo kwa sababu anajua...
36 Reactions
83 Replies
4K Views
Faridi Kubanda amejijengea heshima kubwa kwenye muziki wa HipHop Tanzania. Ni mmoja kati ya watu waliowa-influence wadau wengi wa muziki huo. Mimi napenda muziki ila nasikiliza zaidi hiphop. Na...
7 Reactions
19 Replies
2K Views
Hi Great Thinkers. Katika Pita pita zangu nimekutana na hii clip. In short siyo nzuri na haina afya yoyote. Yaani kwa huyu jamaa anataka kusema elimu haina msaada wowote licha ya mabilion ya pesa...
17 Reactions
121 Replies
7K Views
Director wa video za muziki nchini Nigeria Omori @boy_director mwaka wazi kua kaka yake ameokoa maisha yake kwa kumpa figo moja, Omori kupitia uku rasa wake wa Instagram ameshiriki picha...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Peter anapaswa asome vitabu na kutazama makala ñyingi ili apate maarifa ya kuutumia unene wake kujiingizia mkwanja na kupata umaarufu ambao pia utazidi kumpa dili za hela Moja ya sehemu ambayo...
5 Reactions
22 Replies
2K Views
Durov CEO wa Mtandao wa Telegram Alikamatwa na kunaripotiwa kuhusiana na kutodhibitiwa kwa kutosha kwenye Telegram. Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron alisema Jumatatu kwamba kukamatwa kwa “haukuwa...
3 Reactions
5 Replies
2K Views
TMK Wanaume Family ni kundi la muziki wa kizazi kipya kutoka Wilaya ya Temeke Jijini Dar es Salaam Tanzania. Kundi lilianzishwa rasmi mnamo Septemba 16 2002 mjini Mwanza, wakati wa uzinduzi wa...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Mcheza porno za OnlyFans aitwaye Andressa Urach (36) anamtumia mwanae wa kiume aitwaye Arthur Urach (18) kurekodi video na picha za ngono kwa ajili ya kupost kwenye akaunti yake ya OnlyFans...
17 Reactions
135 Replies
11K Views
Akijibu swali la kizushi kutoka kwa Oscar Oscar Wasafi TV, kwamba👇👇 "Inasemekana ulipokuwa mtoto ulikuwa unaonekana kama una mapenzi na Simba. Hata mlipokuwa mkicheza chandimu Simba na Yanga...
16 Reactions
65 Replies
3K Views
Habari za sasa wadau wa celebrities forum. ni matumaini yangu mu wazima kabisa! Jalada lililoko mbele yenu sasa linazungumzia mustakabali mzima wa tasnia ya filamu Tanzania ambayo imepewa jina...
9 Reactions
177 Replies
26K Views
Baada ya Michael Elizabeth maarufu kama Lulu kuhukumiwa kifungo cha miaka miwili jela, mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam ndugu Paul Makonda kupitia akaunti yake rasmi ya Instagram ameandika maneno...
16 Reactions
393 Replies
55K Views
Kaka maarufu kwa jina la Kaoge ambaye alileta tafrani baada ya kuhojiwa kwenye kipindi cha Take One cha Zamaradi Mketema, na kukiri anajihusisha na vitendo vya jinsia moja amefariki dunia...
12 Reactions
343 Replies
92K Views
Msanii wa muziki zuchu kupitia kipindi cha (lavidavi) cha wasafi fm ambapo alipokua akihojiwa Anjela, ameahidi kesho 22/8/2024 atamnunulia anjela gari aina ya Crown kwani ni kama dada yake na...
7 Reactions
47 Replies
3K Views
Shaaban Kissu MC wa Taifa ndiye the most paid Radio presenter so far, akiwa TBC Na sasa AMG Analipwa zaidi ya milioni tano kwa mwezi, sababu ya kuwa hivyo inatokana na kuwahi kuteuliwa kuwa mkuu...
22 Reactions
79 Replies
11K Views
Wadau hamjamboni nyote? Taarifa za msiba mwimbaji wa kundi la Zabron Singers, Marco Joseph afariki dunia Mwimbaji wa kundi la Zabron Singer, Marco Joseph amefariki dunia kwa ugonjwa wa Moyo jana...
9 Reactions
74 Replies
15K Views
Back
Top Bottom