Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Mtoto wa Tandale, Diamond Platnumz, Mswahili aliyepitia changamoto nyingi kwenye safari yake ya muziki, lakini akatoboa na kuwa nyota mkubwa wa Bongo Flava. Tangu enzi za wimbo wa "Kamwambie"...
3 Reactions
11 Replies
2K Views
Msanii Nandy ameshiriki video leo septemba4 inayoonyesha mjengo wao mpya wa kifahari waliotumia miaka miwili kuujenga, na kuandika maneno haya (Tunasmshukuru mungu sana kutuwezesha kushare na nyie...
30 Reactions
114 Replies
11K Views
Kuna haja That Urgent need to have his videos banned in the country. Haiwezekani America.. everyone's dream aifanye kama huko MburAhati tu. Kama asemavyo yeye. Hii si sawa.
6 Reactions
44 Replies
2K Views
Nsikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane! Wakuu nimekuwa nikimuona huyu jamaa Anayejiita "MWIJAKU" (Sijui kama ni jina lake halisi,ufupisho wa jina lake au ni a.k.a yake) kwenye Platform...
5 Reactions
40 Replies
3K Views
Wiki iliyoisha kulikuwa na kifo cha DJ Steve B ambaye alikuwa na jina kubwa sana katika tasnia ya muziki wa kizazi kipya (bongo fleva) mwanzoni mwa miaka ya 2000. Leo nimeona tuwakumbuke...
9 Reactions
185 Replies
15K Views
Katika pitapita yangu kwenye mitandao nikakutana na kichwa cha habari Hamornize Kujaza Uwanja wa O2 Arena. Nikamsikiliza akiongea na akasema amemalizia malipo. Kwa kuweka mambo sawa O2 Arena siyo...
1 Reactions
53 Replies
7K Views
Rapa Roma Mkatoliki amekiri kuwa wasanii wana ushawishi mkubwa katika jamii, lakini si jukumu lao kuongoza mabadiliko, akikosoa raia kwa kuwatumia kama kisingizio cha kutochukua hatua wenyewe...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Keffe D (mjomba wa Orlando Anderson) alikiri kila kitu, aliweka wazi hatua kwa hatua kilichotokea Las Vegas usiku wa tarehe 7 Septemba 1996.Hapa kuna kilichotokea: Tupac, Suge Knight na marafiki...
8 Reactions
15 Replies
2K Views
Mnamkumbuka msanii wa Bongofleva Q Jay kutokea kundi la Wakali Kwanza? Siku hizi ameokoka na kumrudia Mungu. Inasemekana kipindi cha nyuma alipitia wakati mgumu wa uraibu wa pombe na madawa. Hivyo...
18 Reactions
44 Replies
3K Views
Mkongwe wa muziki wa bongofleva, Juma Kassim Kiroboto maarufu kama Juma Nature anasema watu waache kumzushia kama amezeeka wakati ndio kwanza ana miaka 37 hajafika hata miaka 40. Yeye bado kijana...
19 Reactions
145 Replies
11K Views
Habari zenu wanajamvi. Lunch mmepata? Leo nilikuwa nipo Youtube natazama kipindi cha Salama Na Madam Ritha. Kuna sehemu moja ya mahojiano hayo, Madam Ritha kipindi anajibu swali la mtangazaji...
4 Reactions
35 Replies
2K Views
Mchango wake kwenye sanaa ya bongo sio wa kubeza lakini alichukuliwa poa. Hakuwa msanii aliebahatisha kutoa Hit moja au mbili akapotea, Alihusika kwenye Hits 5, Ni wasanii wa kike wachache sana...
11 Reactions
36 Replies
2K Views
Harmonize jeshi katangaza balaa usiku wa Leo Kwa mashabiki zake wanaenda kufurahi kwakua anaenda kuachia ngoma Kali sana mbili harmonize ndio mfalme wa bongo fleva ukibisha download ngoma zake...
4 Reactions
80 Replies
3K Views
Mwigizaji na Mwanamuziki, Selena Gomez (32) ameingia katika orodha ya ‘Self made’ Bilionea Septemba 6, 2024 Kulingana na taarifa ya mtandao wa Bloomberg imesema kuwa Selena ana utajiri wa Tsh...
2 Reactions
1 Replies
921 Views
Who is Adele? Jina: Adele Laurie Blue Adkins Tarehe ya Kuzaliwa: Mei 5, 1988 Idadi ya Albamu: 4 Tuzo za Grammy: 16 Mafanikio ya Nyimbo: Adele ameingiza nyimbo 19 kwenye U.K. Top 75 na nyimbo...
6 Reactions
17 Replies
2K Views
jamaa anamiliki pisi kali ila kwenye movie zake anakwambia uzuri wa mwanamke sio sura 😀 bali ni tabia ila madebe😂😂
4 Reactions
9 Replies
1K Views
Ni kitambo sana kimepita Zahiri Ally Akiwa Na wanae Banana & Maunda Great memories
15 Reactions
24 Replies
7K Views
Tokugawa Shogunate... Kuna haka ka-Miniseries kametoka kwenye Chanel ya FX, watu mitandaoni wamekua wakiifananisha au kusema kwamba imezidi ubora GOT. Binafsi nimeitazama hii series nakubali...
3 Reactions
101 Replies
5K Views
Kwenye kipindi ambacho Watanzania wengi wanaishi kwenye vibanda umiza, mfanyabiashara na chawa maarufu nchini Aristote ameshusha bonge la ghorofa maalum kama sehemu ambayo mlinzi wake atakuwa...
4 Reactions
2 Replies
733 Views
Habari za asubuhi wakuu. Siku ya jana, Mzee Wa Upako yaani Mchungaji Anthony Lusekelo alitengeneza headlines nchini kufuatia interview alyofanya na Jambo TV Online ambapo alizungumzia upepo wa...
0 Reactions
4 Replies
984 Views
Back
Top Bottom