Wandugu mama matalent kuna wakati nilikuwa naona picha zake kwenye blog mbalimbali akiwa na magongo na pole nyingi lakini nikawa sijajua kilichomsibu je kuna yoyote anayejua kilichomsibu mamaa...
Hawa mastaa wawili kila mmoja alivyoondoka duniani ametuacha na 'Song' linalobamba vichwa vya watanzania wengi;-
Kanumba alituacha na mijadala ya Freemason ambayo kila kona ya Tz ilikuwa...
Aliyekua Mshiriki wa Big Brother Africa na Msanii wa Muziki wa Kizazi kipya kutoka Tanzania Feza Kessy baada yakutolewa kwenye shindano hilo kwenye kipindi cha moja kwa moja juma pili iliyopita...
jamani wanajamvi mimi nikiri kabisa kwanba ni shabiki mkubwa wa huyu mtangazaji tangu akiwa clauds f.m. umepita kama mwezi hivi simsikii katika kipindi chake cha maskani, times f.m. na kipindi...
weekend iliyopita Diamond alikuwa na show Nairobi na Mombasa ambapo kuna taarifa kuwa mashabik wa mombasa walicharuka baada ya Diamond kuchelewa kupanda stage..kuna baadhi ya media na hta kuna uzi...
Katika kuadhimisha Idd el Fitr kama hii, nimemkumbuka Sana Shekhe Yahya Hussein mkazi wa zamani wa Magomeni Mwembechai aliwahi kunukuliwa kuwa Ramadhan ya mwaka 2009 katika Taifa zima la Tanzania...
Jaman huyu anayejiita kichuna wa times kiukweli ananikosha ile mbaya haswaa katika utangazaji wake Yaani anaflow na spidi ya ajabu katika kuongea, na sijui nimfananishe na mtangazaji gani wa...
Kuna midude itaponda wakati hiyo hiyo bado inaishi kwa wazazi wao ambao bado wamepanga hapa mjini
go diamond,go,mimi na fans wako tunakuombea mafanikio zaidi kimziki na kimaisha
Kwenye ngoma yake mpya ya 'Salamu zao,' mkali anayesifika kwa kutopindisha maneno anamwambia Kikwete atatue mgogoro wa gesi Mtwara haraka na Zitto aachane na Bongofleva.
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kinondoni, leo imeiaharisha kesi inayomkabili msanii wa kizazi kipya nchini, Judith Wambura 'Lady Jaydee' a.k.a Annaconda dhidi ya uongozi wa Clouds Media Group hadi...
nikisikia sauti yake huwa napagawa and nikachukua hatua ya kumsaka kwa blog yake,kiukweli she is hot and naitaji awe myn. najua humu ndani wapo wanaomjua mpeni tu habari mr from a town...
Hawa ni waandishi ambao wamenifanya niweze kuwa napenda kusoma makala kutokana na ujasiri wao wa kiuandishi katika jamii mungu awape maisha marefu na yenye afya
1.Jenarali Ulimwengu
2.Lula...
Wadau haiwezekani msanii wa kweli kila siku awena maskendo tu hayana kichwa wala miguu akenda kwenye hotel anawapigia wandishi wa habari wamfate wakamfumanie na mabwana watoe kwenye magazeti...
Jmn huyu nguli wa vituko pale zeCOMEDY,
yupo ndan ya hii wilaya cjui anapga mishe gan huku?, naona watu wa wilaya hii wanajazana kwenye tax alyomo,
naona yumo yeye na mkewe,
naskia sasa hv...
MASTAA wawili wanaotamba katika filamu za Kibongo, Kajala Masanja na Wema Isaac Sepetu hivi karibuni walifunga safari hadi Gereza la Ukonga jijini Dar kwa ajili ya kumuona Johnson Nguza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.