Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Gwiji wa gitaa..Alitamba na bendi za African stars,Mchinga sound na nyinginezo... Nakumbuka alipiga solo ktk nyimbo ya JIRANI ya twanga pepeta! Hivi bado yupo?anafanya mziki bado? Namkubali...
0 Reactions
17 Replies
4K Views
KESI ya kudaiwa kumtukana matusi ya nguoni na kumpiga vibao Meneja wa Hoteli, Goodluck Kuyumbu inayomkabili Staa wa Filamu, Wema Isaac Sepetu imeunguruma Jumatano iliyopita katika Mahakama ya...
0 Reactions
30 Replies
7K Views
Mashabiki wa Diamond Platnumz hawajaipenda picha yake inayomuonesha akionesha kidole cha kati aka ‘the middle finger’. “Is this the right finger that you are talkin about roma2030 …?”...
1 Reactions
24 Replies
5K Views
Habari za jioni ndugu jamaa na marafiki naombeni msaada kujua hivi bwana vengu WA original comedy aliyekuwa mgonjwa Sana yu wapi anaendeleaje?
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Msimu mpya wa Fiesta 2013 umeshaanza na Kigoma ndiyo imepewa nafasi ya kufungua msimu huu. Hii ndiyo list ya wasanii ambao watakaopanda kwenye stage ya Fiesta 2013 Twenzetu ndani ya Kigoma. Listi...
0 Reactions
15 Replies
5K Views
Nikiwa kama mpenzi wa burudani , hasa muziki wa dansi nimejisikia vibaya baaada ya kumuona huyu mzee leo chanel Ten, akiomba msaada wa watanzania kumchangia chochote kwa tamasha ambalo litafanyika...
0 Reactions
0 Replies
941 Views
Hii nyimbo ya Jay dee ilitegemewa sana kushika chati ila hii nyimbo imechuja sana hasa baada ya sakata la jide na Ruge! je hizi ndio dalili za jide kuanza kushuka chati, maana wale walioudhuria...
0 Reactions
96 Replies
9K Views
Kama haukupata hii Jide a.k.a Komando aliamua kurudi studio kufanya vidio ya Yahayakwa mara ya Pili baada ya kuona vidoti usoni ambavyo hakuvipenda na hivyo kutafuta mtaalam wa masuala ya Urembo...
0 Reactions
42 Replies
7K Views
Kwanza ni kupongeze kwa kuanzisha project ya kufufua na kuibua vipaji vya vijana hasa walio kosa fursa. Na BSS(bongo star search) ilipofikia lazima tukupe pongezi kwa jitihada mahususi maana...
1 Reactions
27 Replies
5K Views
diamond na roma
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Alipozungumza na Zembwela wa East Africa Radio katika kipindi cha Super Mix, Mwanadada na mwanaharakati wa haki za wanawake anayetumia kipindi cha runinga almaarufu WANAWAKE LIVE, Bi.Joyce Kiria...
1 Reactions
41 Replies
9K Views
wandugu kuna kabinti kameimba nyimbo moja hivi na juliana yule wa uganda. kama umewahi ona video yake wako wawili na juliana..wimbo unaitwa "mpita njia" mimi nimemzimia jaman mwenye email yake au...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Huyu jamaa naona watu wanamsifia sana eti msafi kisa eti ye anajiita msafi, mi mbona naona yupo normal sana tena namp asilimia 60 tuu, wewe je?
0 Reactions
10 Replies
2K Views
HIKI kipindi kimekuwa kikiwakandia sana wanaume kitu ambacho kimekuwa kikichochea sana kiburi/chuki kwa baadhi ya wanawake, kila ukikisikiliza ni wanaume wanafanya hiki mara kile mara sijui nini...
1 Reactions
40 Replies
6K Views
1. Bentley Continental GTC It is an intelligent and well equipped vehicle with a 6.0 litre twin-turbocharged W12 engine, which accelerates the car from 0 to 100 kilometres per hour (0 to 62.1...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
. Monday, 12 August 2013 13:08 , Written by Sue Watiri (Writer) [*=center] If you were at Diamond's Mombasa concert you probably saw the drama that ensued after Diamond delayed his...
0 Reactions
30 Replies
4K Views
Huyu ni member wa zamani wa kundi linalofanya vizuri kwa muziki wa pop east africa namaanisha nazungumzia Camp mulla,lakini hapa namzungumzia Karun member aliyejitoa kwenye kundi ilo yapata...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Ni baada ya Chid benz kukiri hadharani kuwa anatumia madawa hayo(cocain & heroen) na kukubali kuwa alishawahi kuvuta na LANGA na MANGWAIR, anasema chanzo ni ulevi wa pombe kali na bange...
0 Reactions
19 Replies
5K Views
Back
Top Bottom