Featured content

Unahitaji ushauri juu ya masuala ya ujenzi na gharama zake?
Je, wahitaji ushauri kuhusu ujenzi? Hapa ndipo mahala pake. Piga au wasap. 0756244608 Uliza kuhusu ujenzi wa boma (walling) Uliza kuhusu kupaua Uliza kuhusu kupiga plaster Uliza kuhusu plumbing Uliza kuhusu mashimo majitaka Uliza kuhusu skimming Uliza kuhusu mambo ya rangi Uliza kuhusu paving. ULIZA LOLOTE HATA KAMA SIJALITAJA HAPO JUU. PIA KWA: HUDUMA BORA ZA UJENZI NA FUNDI UJENZI MWENYE UZOEFU. Je, unatafuta fundi ujenzi makini, mwaminifu na mwenye uzoefu? Usitafute mbali , upo...
Nimefukuzwa Kazi kwa sababu ya "Chapisho la Kisiasa"
Na: Jumanne Mwita Leo tarehe 12/11/2025 nimesimamishwa kazi. Sio kwa sababu nilichelewa kazini, wala kwa kosa la kitaaluma — bali kwa sababu nilichapisha au nili "screenshot" chapisho la mtu mwingine lenye mtazamo wa kisiasa. Chapisho hilo halikuwa la matusi, halikuhusiana na kazi yangu, lakini kwa namna fulani lilitafsiriwa kama kudhihaki serikali. Niliambiwa na uongozi wangu niandike barua ya kujieleza kukiri kosa na kuahidi kutorudia. Nimeandika barua hiyo kwa heshima na utulivu...
‘Bongo Zozo’ ajivua Ubalozi wa Utalii Tanzania kufuatia mauaji ya Waandamanaji
Nicholas Reynolds (maarufu kama Bongozozo) ametangaza kujiuzulu nafasi yake ya Balozi wa Hiari wa Utalii wa Tanzania, akieleza kuwa uamuzi huo umetokana na hali ya uvunjifu wa amani na kupotea kwa utu nchini kufuatia mauaji yaliyotokea katika maandamano ya Oktoba 29, 2025. Reynolds, anayejulikana kwa kutumia Kiswahili fasaha na kuishabikia timu ya Taifa ya Tanzania, aliteuliwa kwenye nafasi hiyo na Dkt. Hamisi Kigwangalla mnamo Januari 31, 2020.
Musiba: Kwa nilichokiona kwenye Uchaguzi Mkuu, Madai yote ya Tundu Lissu na CHADEMA ni sahihi
Mwanaharakati huru Cyprian Musiba, ambaye pia alikuwa mgombea ubunge wa Jimbo la Mwibara mkoani Mara kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, amesema kuwa malalamiko yote ambayo yamekuwa yakitolewa na Tundu Lissu pamoja na chama cha CHADEMA ni ya kweli, akisisitiza kuwa mfumo wa sasa wa kikatiba unatoa ugumu mkubwa kwa chama kingine kushinda na kutangazwa kuwa mshindi dhidi ya chama tawala. Akizungumza na Jambo TV leo, tarehe 07 Novemba 2025, Musiba alisema kuwa kama Katiba haitabadilishwa, itakuwa...
Mwanasheria Mkuu wa Serikali: Nimepewa maelekezo, tutamkamata Mange Kimambi!
Wakuu, Hii nchi kuna changamoto kubwa sana kwenye priorities. Anyway wenyewe ndo wanajua zaidi. ---------------------------- Baada ya kuapishwa na Rais Samia leo, Mwanasheria Mkuu wa Serikali Hamza Johari amepania Mange Kimambi lazima akamatwe!
Waangalizi SADC: Uchaguzi Mkuu wa Tanzania haukuwa HURU wala wa HAKI
Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC) imesema kuwa uchaguzi uliohitimishwa hivi karibuni nchini Tanzania haukutimiza viwango vinavyohitajika ili kutangazwa kuwa huru na wa haki. Katika ripoti yake ya awali, Ujumbe wa Waangalizi wa SADC (SEOM) umebainisha kuwepo kwa vitisho dhidi ya viongozi wa upinzani, kuzuia uhuru wa kisiasa, na ukosefu wa uwazi katika mchakato mzima wa uchaguzi. Ripoti: Baadhi ya maeneo, askari walikuwa wengi kuliko wapiga kura. Pia, wapiga kura...
Hotuba ya Rais Samia, 03 Novemba 2025: Muhtsari, Mazuri, Mabaya, Mapengo, Uongo na …
Tahakiki ya tukio la Uapisho na hotuba ya Rais Samia, 03 Novemba 2025: Muhtsari, Mazuri, Mabaya, Mapengo, Uwongo na Ubatili wa Kiapo 1. Muhtasari wa hotuba Leo tarehe 03 Novemba 2025, akiwa Jijini Dodoma, katika uwanja wa Jeshi wa Nishani, Rais Samia ameapishwa kama Rais mpya wa Tanzania, na kisha kutoa hotuba yenye urefu wa dakika 16. Rais Samia alisoma hotuba akiwa na uso wa upole, utulivu, mashaka, huzuni na wasiwasi. Hakuwa na bashasha yoyote. Ametaja dhamira yake kuu mwishoni mwa...
Mo Ibrahim: Kwanini uue, kuteka na kufunga Watu kama unapendwa kiasi cha kupata 98% ya kura?
Mmoja wa watetezi wakubwa wa demokrasia barani Afrika na bilionea, Dkt. Mo Ibrahim, amekosoa vikali jinsi uchaguzi wa 2025 nchini Tanzania ulivyofanyika, akisema kuwa ni “kitendo kisichofaa na kisichokubalika” kuzuia vyama vya upinzani kushiriki. “Nadhani ni kosa kubwa na jambo lisilokubalika kupiga marufuku vyama vya upinzani kushiriki uchaguzi. Unawezaje kuwa na uchaguzi bila vyama vikuu?” alisema Dkt. Ibrahim. Aliongeza kuwa kuwafunga viongozi wa upinzani hakukuwa na ulazima wowote na...
Umoja wa Mataifa wasikitishwa na Vifo na Majeruhi katika Uchaguzi wa Tanzania
Oktoba 31, 2025 Tumeshtushwa na vifo na majeraha yaliyotokea katika maandamano yanayoendelea yanayohusu uchaguzi nchini Tanzania. Ripoti za kuaminika tulizopokea zinaonyesha kuwa angalau watu 10 waliuawa Dar es Salaam, Shinyanga na Morogoro wakati vikosi vya usalama vilitumia silaha za moto na mabomu ya machozi kutawanya waandamanaji. Amri ya kutotoka nje kote nchini imewekwa, na upatikanaji wa intaneti unaonekana kuzuiliwa sana tangu uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, bila ya sababu zozote rasmi...
Polisi: Kuna wageni wameingia nchini kuchochea vurugu
TAARIFA KWA UMMA Jeshi la Polisi Tanzania, limepata taarifa za watu ambao siyo raia wa Tanzania kuwa wameingia nchini kwa njia zisizo rasmi kwa nia ovu ya kufanya uhalifu ikiwepo vurugu. Watu hao wanajifanya kuwa wanafanya shughuli mbalimbali ikiwepo za bodaboda. Taarifa zinasema watu hao wapo katika Mikoa ya Arusha, Dar es salaam, Mbeya, Mwanza, Songwe na Mikoa mingineyo. Wakati Jeshi la Polisi linaendelea kuwafuatilia ili kuwachukulia hatua kali kwa mujibu wa Sheria, mwananchi yeyote...
CHADEMA: Hakukufanyika uchaguzi Tanzania
TAARIFA YA AWALI YA CHAMA JUU YA KINACHOITWA MATOKEO YA UCHAGUZI TANZANIA Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinapinga vikali kinachoitwa matokeo ya uchaguzi yaliyotangazwa na Tume ya Uchaguzi. Matokeo haya hayana uhalisia wowote kwani ukweli ni kwamba hakukufanyika uchaguzi Tanzania. Wananchi hawakushiriki katika uchaguzi wa Oktoba 29 kutokana na mazingira yasiyo huru, haki, na kukosekana kwa uwanja sawa wa kisiasa. Aidha, Chadema tunasisitiza kwamba Tume ya Uchaguzi imetoa...
Nyerere (1987): Msingi wa Amani ni HAKI! Bila haki, huwezi kupata utulivu wa kisiasa
GT Haya sasa wale wajinga wajinga ambao hamtaki kutamka.neo haki sikilizeni hii. Kiufupi HAKI ni matendo na AMANI ni Matokeo Mfano Heshima ni matokea lazima kuna matendo lazima uyafanye kupata heshima
ZEC yamtangaza Dk Hussein Mwinyi kuwa mshindi wa urais Zanzibar
30 October 2025 | Unguja, Zanzibar Dr. Hussein Ali Mwinyi azoa kura 448,892 uchaguzi wa 2025 Huku mpinzani wake mkuu Othman Masoud Othman almaarufu OMO wa ACT Wazalendo akipata kura 139,399 ZEC imemtangaza Dk Hussein Mwinyi kuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Braza la Mapinduzi ya Zanzibar baada ya kuibuka mshindi kwa zaidi ya asilimia 74.4 ya kura zilizopigwa. https://m.youtube.com/watch?v=fgw0dROQpVg mwenyekiti wa ZEC Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar jaji George Joseph Kazi...
UE Statement: Elections in Tanzania were neither free nor fair
Elections in Tanzania were neither free nor fair October 30, 2025 In a joint statement on general elections held on 29 October in Tanzania, leading MEPs urge all democratic partners to stand firm in defence of democracy and human rights. “As Tanzanians went to the polls today, the international community watched with deep concern. What should have been a celebration of democracy, instead unfolded in an atmosphere of repression, intimidation, and fear. These elections cannot be regarded as...
Serikali: Watumishi wa Umma mtafanyia kazi nyumbani Oktoba 30
Msigwa amewatangazia Watumishi wote wa Umma kutotoka nyumbani kesho
Uchaguzi Mkuu Tanzania 2025: Matukio na taarifa mbalimbali Mubashara
Utangulizi Oktoba 29, 2025 Tanzania inatarajia kufanya uchaguzi mkuu katika mazingira yanayoelezwa kuwa yenye hali wasiwasi mkubwa na taharuki. Uchaguzi huu unakuja takriban mwaka mmoja baada ya kufanyika kwa uchaguzi wa serikali za mitaa, uliosababisha mijadala mikubwa kutokana na matukio ya ukiukwaji wa haki za wagombea, uonevu, mauaji na vitendo vya kuzuia baadhi ya watu kushiriki katika uchaguzi huo. Tukio hilo lilichukuliwa na wengi kama ishara mbaya, na wachambuzi kadhaa walitabiri...
2025 Tanzania Elections: Live Updates and Events monitoring
On October 29, 2025, Tanzanians will vote to elect leaders for the next five years amid heightened political tensions. ACT-Wazalendo presidential candidate Luhaga Mpina has been removed twice from the National Electoral Commission’s (NEC) list, while opposition party CHADEMA is boycotting the polls, demanding a new constitution and an independent electoral commission. CHADEMA leaders face treason charges and detentions, fueling citizen frustration amid reports of corruption, abductions, and...
Muliro na Mafwele walivyorekodiwa wakiongelea maandamano na wanavyokamata watu
Wakuu, Haya nimewaletea kile chote alichosema Mafwele na Muliro kwenye kipande cha audio ya dk 9 walichorekodiwa na askari wakati wakiwaonya kuhusu kujihusisha na maandamano na kuripoti watu wanaojihusisha na maandamano au wanaoelekea huko ili washughulikiwe. Mbali na kuwakanya wamepewa na vitisho, kwamba wajue wanakufa mara moja tu, mtu hawezi kufa mara mbili, kama wanajiona wao ndio wao na kusema wasiwatishe, sasa wajaribu waone! Ila askari wamenifurahisha sana, mbali na kutishiwa...
Mfanyabiashara Jeniffer Jovin ‘Niffer’ adaiwa kupigwa na kuchukuliwa na ‘wasiojulikana’
Faiza Ally amedai kuwa mfanyabiashara Niffer amepigwa sana na amechukuliwa na watu wasiojulikana, Niffer ambaye kwa siku za ivi karibuni amekuwa akionekana kucheza Challenge Nywinywi katika kurasa zake za mitindao ya kijamii.
Back
Top Bottom