Featured content

Hotuba ya Jaji Masaju kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Jaji Masaju anasema kuna haja ya kurekebisha Sheria/Kanuni za Uchaguzi. Anasisitiza wananchi ndio msingi wa mamlaka yote na Serikali itapata madaraka na mamlaka yake yote kutoka kwa wananchi kwa mujibu wa Katiba hii na lengo kuu la Serikali ikiwa ni ustawi wa wananchi na Serikali ikiwajibika kwa wananchi
Back
Top Bottom