Hayati Benjamin Mkapa Katika kitabu chake "My Life, My Purpose" (2019) Ameeleza maeneo aliyofeli kama kiongozi
1. Kufeli Kukubwa Kuliko kote: Ubinafsishaji (Privatization) Anasema "Nilifanya...
Tukio la kushtua limetokea Mtaa wa Senzele, Kata ya Bunju B, jijini Dar es Salaam, baada ya Laurent Kweka kudaiwa kumuua mkewe, Jeni Urassa, kwa kumpiga risasi kichwani kisha kujisalimisha Polisi...
Mods mliopo doria endeleeni kupoteza nyuzi zangu.Sijui mnaajenda gani huu mtandao wenu mada mnazotaka ZITREND ni mada za ngonongono na upuuziupuzi kama UMBEA na stori za mpira.
Back to the topic...
Tuwape marks kwa presentation, confidence, English na namna ya kujieleza mbele ya hadhira ya kimataifa.
Nchimbi: ?/10
Ndejembi: ?/10
Video ipo hapa chini. Toa marks zako kwa heshima.
Kama kuna...
Usikae kinyonge
Usisononeke. Maisha bado yapo na siku hazigandi. Unayopitia walishayapitia wengine wewe si wa kwanza na wala hutakuwa wa mwisho
Pita hapa uone pia shuhuda za wengine
Changamoto...
Ghana ni nchi yenye Wakristo wengi, ambapo kuhubiri injili kwenye vyombo vya usafiri wa umma ni jambo lililozoeleka. Katika mabasi ya masafa marefu, mara nyingi wachungaji huonekana na kusikika...
Makonda aache kusema anatafuta pesa za kujenga msikiti mkubwa Arusha
awe mkweli aseme ametumwa na Rais ajenge msikiti mkubwa Arusha na mfadhili ni dp world waliozawadiwa bandari
mikoa lengwa...
FURSA YA UBIA: Natafuta Mwekezaji wa Mradi wa Parachichi Hass Ekari 10 Njombe/Iringa (Mtaji 100%, Ubia 60% Miaka 5 ya Mwanzo)
Wakuu, habari za wakati huu.
Natafuta mwekezaji makini (Silent...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.