Kisaikolojia ukijinadi kuwa wewe sio hivyo ulivyo huwa tunasema una poor insight ...yaani hutaki kukubali hali halisi nafsi yako inavyokuambia.
Ni somo tu kwa wanaolewa sailolojia
Kila mfumo unakua na watu wa milengo mitatu tofauti wapo wale wahafidhina itikadi kali,wapo mlengo wa kati na wale mlengo wa kushoto ila wote wanafanya jambo moja sasa ipo siku mtegaji atamtega...
Haya friji la Gigy money aligandishi kabisa :)
Kwa madai aliyatoa msanii wa muziki wa Bongo Fleva Gigy money amesema baada ya kuitwa na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Patrobas Katambi walipewa...
Totozi kama hizi kama hauna inch za kutosha , bora uachane nazo ni upotevu wa pesa yako 🤔
Hizi ishia kuzilia nyero kwenye chudai tu , okao kibunda chako kwa wivu mkubwa sana👇
Mwaka 2013-2014 wakati kesi ya Kenyatta na Rutto zinarindima kwenye mahakama ya uhalifu wa kimataifa (ICC-The Hague), njia kuu iliyotumika kuzima sakata ni kuharibu ushahidi kwa kuuficha, na kuua...
Huyu Dada kajulikana kwa jina moja Rose, Leo akiwa maeneo ya Mlimani City amevamiwa na watu Wasiojulikana, wamemchukua na kuondoka nae.
Mashuhuda wanasema baadhi ya watu walijaribu kuwahoji...
Kuna Rafiki yangu wa kike tulikutana Chuo na urafiki wetu ukaanza tangu mwaka wa kwanza mpaka leo. Ni rafiki ambae tumeshibana sana, ananijua kiundani namimi namjua kiundani kuliko ambavyo ata...
Mwanamke wa ndoto yako , ambaye amefika umri wa ndoa, miaka 26- kuendelea, ukimvisha pete na ukamshika kama huyu mwanangu alivyofanya , hakika , hutokaa kuachika, Furaha ya mwanamke ni ndoa !
Mimi ni kijana toka mkoa wa Kilimanjaro. umri wangu ni miaka 30s mwishoni. Mchanganyiko wa Kilimanjaro na Singida.
Allahmdulillahi nlifanikiwa kupata rangi ya Mtume. Ni mweupe. Nina watoto 4 kwa...
Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Washington DC umepokea barua pepe kutoka “The Office of Chief Medical Examiner” ikitaarifu kuwa inachunguza kifo cha Mtanzania aitwaye KHALIFA H. SIWA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.