Hey people,
Uzi huu ni wa kuwaaga wanaJF wenzangu
Nimekutwa na cancer ambayo kimsingi nimepewa taarifa kwamba ndani ya miezi miwili sitakuwepo
Naumia lakini sina jinsi
Umekutana na mpenzi wako akiwa ashatumika? Imagine ni siku ya harusi yenu. Sasa nakutengnezea picha jinsi mara zote inavyokuaga
Kuna maex wake, kuna aliofanya nao one night stands, kuna waliomla...
Ilaa
Nimekaa nikakumbuka zamani kidogo,. Kipindi ambacho hata ule kitu gani ( haijalishi ni wanga au protini ) Kilo zangu hazijawahi kuvuka 50,. Yaani zinacheza kwenye 48kg zikizidi sana 52kg🤗🤗...
Aug 15, 2026
Manyara
WANANCHI WACHOMA SHAMBA LA MKULIMA MWEKEZAJI MANYARA - MGOGORO WA ARDHI WAHUSISHWA
https://m.youtube.com/watch?v=kXulqFbp-ak
Wananchi wa kijiji cha Kiru Six wilsya ya...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Mgombea Urais wa Upinzani, Brian Mundubile kutokea chama cha National Reconciliation Party for Unity and Prosperity’s (NRPUP), amesema kuwa chama tawala cha Rais anayemaliza muda wake, hakiwezi...
Dj Choka kwa sasa anasumbuliwa na figo, hivyo anahitajika mara kwa mara kufanya dialysis kusudi aweze kuishi.
Kumchangia afanyiwe dialysis ni jambo zuri sana pia ni thawabu kwa Mwenyezi Mungu...
Bila kujali nilikuwa upande wa chama tawala au chama cha upinzani, uamuzi wa kutopiga kura nilifanya kwa sababu, kimantiki, mazingira ya uchaguzi yalishatabiri mshindi.
Katika chaguzi za 2020 na...
Kwa nyakati tofauti nimeona wanafunzi wanaosoma Muhas na alumni waliomaliza chuo Cha muhas CV zao zimesheheni activities nyingi out of elimu ya darasani Kuna walionzisha NGOs,Wana hudhuria Health...
Habari za chinichini zinapenya kutoka viunga vya UDOM na mitandao ya kijamii kwamba kitu kilichomponza mhadhiri wa UDOM, Dr Kaijage, na kujikuta akipewa kesi ya ugaidi, ni ujasiri wake wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.