Naamini orijino komedi watabaki kuwa juu kwa muda mrefu sn,futuhi walichofanya ni kuiga...laiti wangekuja na kitu tofauti kdg wangeng'ara sana kwa sababu nao pia wana vipaji...lakini kwa sasa mimi binafsi huwa siiangalii kbs futuhi.
hapo ndio unapokosea kwa kusema eti, futuhi wanaibua matatizo halisi, mimi nadhani inakupasa ujue kuwa katika hizi programm za commedy malengo sio kuelimisha jamii tu, lakini lengo kuu la hizi commedy ni kufurahisha jamii, kwa sababu kucheka ni afya, ebu mwangalie MR Bean, mimi sidhani kama kuna hata picha moja ya huyu comedian ambayo inafundihsa au hata kama ukiangalia zile comedy za mkongwe Charlie Champlin hakuna hata somo moja kwa jamii zaidi ya kuchekesha tu, na kama tukiingia katika fani ya kuchekesha na kubuni vituko vipya bac THE COMEDY wako juu, sasa wanakuja na ASHA NGEDELE hayo mambo si mchezo,
angalia usifulie
wadau, hapa nani zaidi? kwa upande wangu nimekuwa nikiwatazama wote ila navutiwa na futuhi kwa mambo kadhaa. kwanza hawatumii lugha kali kama ze komedi, pili wanatumia wanawake katika nafasi za wanawake, tatu ni more creative, nne kuna rika tofauti, n.k. hayo ni yangu sijajua yako
Mkuu, jaribu kidogo kufanya research za Thread zilizopita kabla
ujaleta hapa kudadavuliwa.
Thread yenye issue kama hii ilishaletwa hapa!, So far it made us
MONOTONOUS!!!!
Non of the shows are that entertaining to be honest. The production level is poor, the scripts are poorly written if there is any at all and the acting is mediocre. Ze komedi think they have more talent then they are actually blessed with and futuhi can try to chose it's setting better. But I have to say compared to each other futuhi is better.
Hapa kuna ukweli watu wanaogopa kuusema na wakikaa kimya ubishi huu utaendelea milele, ngoja ni break the ice kwa kusema futuhi ni kundi la washamba flani wa huko mwanza sijui, na hao wanaowafagilia ni watu wa aina yao, hwana wanalolifanya jipya ila kuiga ya orijino komedi ila wanayafanya kishambashamba, sasa hao wanaowafagilia ni washamba wenzao on the contrary orijino komedi ni watoto wa mjini wanajua mambo yetu watu wa mjini na wana exposure ya mashow ya tv kuliko unavyoweza kuwaza, hivyo mashabiki wao ni wajanja wa town na watu wanaojua kinachotokea mjini, kwa mshamba anaweza kujichekesha tu akiangalia komedi ilimradi naye aonekane lakini ki ukweli huwa hawajui lolote msiwalaumu kusema komedi hawachekeshi ila ni ushamba wao hawajui mambo ya mjini.Kingine ni ile roho ya korosho na chuki zisizo kuwa za maana za kibongo, utawasikia siku hizi wanaringa wanaendesha magari sasa hapo uhusiano upo wapi, halafu mijitu mingine ikisikia mtu katoka hata kidogo inaanza chuki, wewe ngoja na hao washamba wenzao sijui futuhi wapate tajili wa pamba awatoe utaanza kuwasikia wanaponda aaaah siku hizi futuhi wamelewa sifa kumbe ni donge na roho zao mbaya..kama vp komedi ipotezeeni tu muangalie komedi zenu za huko meatu sijui wapi aaaaaaagh..kwanza hilo jina lenyewe linatia kichefuchefu.
Jana Ze Comedy (TBC 1) walifanyia shoo yao ofisini kwa Yusufu Manji. Yeye (Yusufu Manji) alitokea kama mtu asiye na hela ambaye amekuja kuomba msaada kwa tajiri la Kihaya (Mpoki)
katika moja ya onesho la ze komedi mikoani lililohudhuriwa pamoja na mkuu wa mkoa, wazito wengine, mababa, mabibi, wanafunzi, watoto, na masela: masanja alijitambulisha kama "boloyang" alihamasisha watu wote waseme "boloyang" kwa kutenganisha maneno-"booooo-loooo....." wakifika hapo tu anawastopisha na kuwaambia warudie "boooo-looo....." nilikaa meza ya mgeni rasmi, hakuna aliyecheka.....mgeni rasmi akajifanya anasoma sms!!!!! anayekubaliana kuwa hiyo ndy comedy ndiyo wale wale wanaokaa sebuleni na mke, mama mkwe na watoto wakiangalia ze comedy huku wakishangilia na kusifu kwa maneno.. "k***mae"!
kweli ze comedy wako juu!
Hapa kuna ukweli watu wanaogopa kuusema na wakikaa kimya ubishi huu utaendelea milele, ngoja ni break the ice kwa kusema futuhi ni kundi la washamba flani wa huko mwanza sijui, na hao wanaowafagilia ni watu wa aina yao, hwana wanalolifanya jipya ila kuiga ya orijino komedi ila wanayafanya kishambashamba, sasa hao wanaowafagilia ni washamba wenzao on the contrary orijino komedi ni watoto wa mjini wanajua mambo yetu watu wa mjini na wana exposure ya mashow ya tv kuliko unavyoweza kuwaza, hivyo mashabiki wao ni wajanja wa town na watu wanaojua kinachotokea mjini, kwa mshamba anaweza kujichekesha tu akiangalia komedi ilimradi naye aonekane lakini ki ukweli huwa hawajui lolote msiwalaumu kusema komedi hawachekeshi ila ni ushamba wao hawajui mambo ya mjini.Kingine ni ile roho ya korosho na chuki zisizo kuwa za maana za kibongo, utawasikia siku hizi wanaringa wanaendesha magari sasa hapo uhusiano upo wapi, halafu mijitu mingine ikisikia mtu katoka hata kidogo inaanza chuki, wewe ngoja na hao washamba wenzao sijui futuhi wapate tajili wa pamba awatoe utaanza kuwasikia wanaponda aaaah siku hizi futuhi wamelewa sifa kumbe ni donge na roho zao mbaya..kama vp komedi ipotezeeni tu muangalie komedi zenu za huko meatu sijui wapi aaaaaaagh..kwanza hilo jina lenyewe linatia kichefuchefu.
dada yaonyesha una hisa huko (lol)!