Ze komedi -vs- Futuhi

Hapa kuna ukweli watu wanaogopa kuusema na wakikaa kimya ubishi huu utaendelea milele, ngoja ni break the ice kwa kusema futuhi ni kundi la washamba flani wa huko mwanza sijui, na hao wanaowafagilia ni watu wa aina yao, hwana wanalolifanya jipya ila kuiga ya orijino komedi ila wanayafanya kishambashamba, sasa hao wanaowafagilia ni washamba wenzao on the contrary orijino komedi ni watoto wa mjini wanajua mambo yetu watu wa mjini na wana exposure ya mashow ya tv kuliko unavyoweza kuwaza, hivyo mashabiki wao ni wajanja wa town na watu wanaojua kinachotokea mjini, kwa mshamba anaweza kujichekesha tu akiangalia komedi ilimradi naye aonekane lakini ki ukweli huwa hawajui lolote msiwalaumu kusema komedi hawachekeshi ila ni ushamba wao hawajui mambo ya mjini.Kingine ni ile roho ya korosho na chuki zisizo kuwa za maana za kibongo, utawasikia siku hizi wanaringa wanaendesha magari sasa hapo uhusiano upo wapi, halafu mijitu mingine ikisikia mtu katoka hata kidogo inaanza chuki, wewe ngoja na hao washamba wenzao sijui futuhi wapate tajili wa pamba awatoe utaanza kuwasikia wanaponda aaaah siku hizi futuhi wamelewa sifa kumbe ni donge na roho zao mbaya..kama vp komedi ipotezeeni tu muangalie komedi zenu za huko meatu sijui wapi aaaaaaagh..kwanza hilo jina lenyewe linatia kichefuchefu.

hatukushangai kwani domo lako ni jibu tosha. Pia avatar yako naona inaendana na bepari la kihaya, so mlemle. Kiufupi hoja zako kama zimebemendwa
 
Last edited:
Back
Top Bottom