Ze komedi -vs- Futuhi

Ze Komedi wananiboa siku hizi, hasa yule anayejifanya muhaya mwenye pesa.
Siku hizi naweza kusahau hata muda wa kipindi, nimepoteza interest kabisa.


Hivi wale wa channel Ten wanaitwaje wanaonyesha kipindi chao jumamosi no naona wanakuja juu
 
The comedy wapo juu bado ila wanashuka taratiibuuuuu

Futuhi wapo chini ila wanapanda taratiiiiibbuuuu
 
Komedy wamefulia haswa!

FUTUHI wako juu sana, vichekeksho vyao vinafurahisha lakini pia vinaibua matatizo halisi katika jamii! Mfano jana ile seen ya Mama kujifungua aliye bebwa na ambulance ya mkokoteni! Hiyo ilikuwa nzuri sana lakini ilibebea ujumbe mzito kwa utawala kwamba hali si shwari, maisha bora ni ndoto! Achilia mbali ile seen ya wamama wanao penda kujiuza ili hali wapo ndani ya ndoa kwa jili ya tamaa, kibwagizo ilikuwa ni ule mtafaruku, wa uteuzi wa mama kuwa mkuu wa Wilaya na jinsi cheo hicho kilivyo vuruga ndoa yao! Kimsingi haya mambo yapo katika jamii ndoa nyingi zimevurugwa kwa ajili ya vyeo vya namna hiyo ambavyo mama hujikuta kazi yuko kaskazini, baba akibaki kusini!

FUTUHI BABU KUBWA huwezi walinganisha na komedi wavaa sketi na blezia!

hapo ndio unapokosea kwa kusema eti, futuhi wanaibua matatizo halisi, mimi nadhani inakupasa ujue kuwa katika hizi programm za commedy malengo sio kuelimisha jamii tu, lakini lengo kuu la hizi commedy ni kufurahisha jamii, kwa sababu kucheka ni afya, ebu mwangalie MR Bean, mimi sidhani kama kuna hata picha moja ya huyu comedian ambayo inafundihsa au hata kama ukiangalia zile comedy za mkongwe Charlie Champlin hakuna hata somo moja kwa jamii zaidi ya kuchekesha tu, na kama tukiingia katika fani ya kuchekesha na kubuni vituko vipya bac THE COMEDY wako juu, sasa wanakuja na ASHA NGEDELE hayo mambo si mchezo,
angalia usifulie
 
Ishakuwa ni SIMBA na YANGA,
mi naona FUTUHI na ZECOEDI wote wapo juu, ila ze comedy inawapenzi wengi.
 
komedy wamefulia haswa!

futuhi wako juu sana, vichekeksho vyao vinafurahisha lakini pia vinaibua matatizo halisi katika jamii! Mfano jana ile seen ya mama kujifungua aliye bebwa na ambulance ya mkokoteni! Hiyo ilikuwa nzuri sana lakini ilibebea ujumbe mzito kwa utawala kwamba hali si shwari, maisha bora ni ndoto! Achilia mbali ile seen ya wamama wanao penda kujiuza ili hali wapo ndani ya ndoa kwa jili ya tamaa, kibwagizo ilikuwa ni ule mtafaruku, wa uteuzi wa mama kuwa mkuu wa wilaya na jinsi cheo hicho kilivyo vuruga ndoa yao! Kimsingi haya mambo yapo katika jamii ndoa nyingi zimevurugwa kwa ajili ya vyeo vya namna hiyo ambavyo mama hujikuta kazi yuko kaskazini, baba akibaki kusini!

futuhi babu kubwa huwezi walinganisha na komedi wavaa sketi na blezia!

hamna cha futuhi wala futuza, ze comedy wapo juuuuu kwa mtazamo wangu
 
Hivi kati ya Yanga na Simba nani utasema yuko juu? Wanaoendelea kuchangia waeleze vigezo vyote vinavyoonyesha FUTUHI wako juu au chini kwa vigezo gani, au Orijino Komedi wako juu au chini kwa vigezo gani. Au sio waheshimiwa wanaJF?
 
BABA TUMBUKAAAA- WE KOMBA MWENYEWE ANAJIDAI MSANII LAKINI UZALENDO ULIMSHINDA

[ame]http://www.youtube.com/watch?v=RjzjeJ6jduU[/ame]
 
Hapa ni ushabiki iliokithiri, watanzania ni wataalamu wa kuiga vitu vilivyotayari. Ikowapi haki ya hati miliki?
FUTUHI sio waanzilishi ila wameiga hakuna chembe hata kidogo ambapo mtu alikaa chini na kubuni. Hivy hakuna ulinganifu wowote, vinginevyo waanzishe kipindi kama cha Vimwanga time (Channel Ten), FATAKI (TBC1).
 
[
QUOTE=Masanilo;551922]Futuhi ndo kitu gani? Sijaelewa kitu hapa!

Kama huelewi ukae kimya! Ila habari ya Kyela kuingiliwa imenivutia hasa hiyo comment yako. Lakini wajue Kyela si ya Mabwege tena!!!
 
Mie zangu ZEMBWELA kila jpili ITV hata sikosi.Hawa nao wako juuu juu.
 
Futuhi ni wazuri mno, of course ze comedi ni ze utamu tu! lugha chafu chafu tu!!!!
 
Nafurahi sana kuona mtu anasema eti Ze komedi wamefulia!! Wakati hilo neno 'kufulia' wameli-create wao!!! Yani ni kipaji cha hali ya juu kuanzisha msamiati na watu kuutumia!! Hamkubali tu kama Ze Komedi wapo juu!! Hao futuhi sijui nini nadhani wanaburudisha kanda ya ziwa tu but akina Asha Ngedere ni wa nchi nzima.
Hivi hamjiulizi kwa nini mpaka sasa hivi futuhi hawana sponsor wa kipindi??
 
Naunga Mkono na mguu kabisa! Ze Komedy hawaelimishi kitu zaaidi ya kuleta lugha za ajabu ajabu kama 'Kufulia!'
 
Ze Komedi iko juu jamani, mnyonge mnyongeni haki yake mpeni. Futuhi ni ya watoto tu watu wazima haitusaidii. Ze Komedi ni wabunifu sana, misemo isikupe tabu.
 
Kyakya, unaogopa neno kufulia?? hahaha wewe ni mtu wa pili ukisema amefulia anakasirika. Ukweli uko pale pale kama ume chacha aka. Kufulia lazima umbiwe na ukumbushwe kwamba unatakiwa kuamka siyo kuendelea kufulia.

I like that theme, inatupa picha halisi ya watu waliowahi kuwa na miradi mizuri, fedha za kutosha sasa hivi hawapo kwenye ulimwengu huo je ni kwanini hawapo tena?
 
Back
Top Bottom