Hawazi kufuta hiyo posho, hizo ni Habari za magazeti tu.Kwani huwa mitihani ya Necta inasahihishiwa mashuleni? Au nakosea kufikiri kwamba washihishaji huwa wanakusanywa katika baadhi ya vituo ilikufanya kazi hiyo? Kwa maana nyingine posho wanayopewa ni ile ya kuwa nje ya vituo vyao.
Hii sio dhamira ya dhati, ila kwa kuwa madhara ya kielimu sio ya mapemaTanzania mpya lazima ipatikane tu...
hiii awamu ina balaaa sana na ina dhamira ya dhati kusuka nchiiii
Yaani kuna mtu kaheuka utafikir mimi ndo ndalichako....aisee kamtafute huko huyo mwenzako.mimi kukusifia isiwe ndo mwanzo wa kupandisha hasira mpelekee aliyekushauri kuwa mwalimuIkiwa umeshatmbua kuwa kuna ujinga unaufanya basi mi sina cha kumalizia
Eti matunda!!!! fild zingine mbona hamzigusagi ovyo ovyo,.....Nauli ya kwenda na kurudi utapatiwa mwalimu. Pia naomba ufahamu kuwa serikali imeamua kubana matumizi na kupeleka pesa itakayopatikana kwenye miradi yaa maendeleo. Naomba tuwe wavumilivu na tuunge mkono nia njema ya serikali yetu. Naomba ifahamike kuwa nia na malengo ya serikali mema kabisa. Inachofanya serikali si yo ukatili kama baadhi yenu mnavyofikiria. Serikali inataka kila mtanzania afaidike na matunda ya serikali yake. Wakati utaongea. Mtayaona hayo matunda kwa macho yenu. Asanteni.