Wadiz
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 5,417
- 11,077
Hello walimwengu.
Nimesitika sana na kauli yenye ufinyu wa fikra na mizania mbovu sana, dhana yao ya utofauti wa mazingira ya kusomea ya wanafunzi na mashule mbalimbali mbona haijatumika kutunga mitihani tofauti tofauti kama wanalijua hilo, je hawajui kuna shule wanafunzi wanafika form4 bila kusoma syllabus za form 3 na 4 Kwa masomo yote, kukosa waalimu wa masomo mengi, kufundishwa na walimu wenye msongo wa mawazo, manyanyaso, kudhulumiwa, kuishi mazingira duni, na hao hao NECTA kuwadhulumu waalimu walosahisha mitihani posho zao, kama mwalimu anaesahisha paper za form 4 anadhulumiwa na NECTA tutarajie nini.
Kuna mdau alipandisha thread hapa jukwaani ya walimu walioenda marking ya paper ya form 4 kudhulumiwa perdiems /posho zao.
NECTA wajitafakari wasitoe kauli za kijinga na kizuzu. Wajifunze kutoa kauli huishi pana kwenye kujitafakari.
NECTA: Next time watunge mitihani tofauti tofauti kulingana na aina za shule.
Ni hayo tu