Waziri wa Elimu Prof. Ndalichako afuta posho za kusahisha mitihani ya Mock na NECTA

Hii taarifa kamwe haiwezi kua ya kweli...marking ni jambo sensitive sana,sizani km Prof Ndalichako anaweza kuliingizia mzaha,huenda mleta mada umemnukuu vibaya..
Hivi unamwamini sana yule mama eti!! Kuna siku utaacha tu. Japo cna uhakika na andiko la mleta mada.
 
Umezungumza mambo ya maana sana. AMEKURUPUKA huyu mama. Ngoja tusubiri tuone kama hili tamko halitatenguliwa.

katika jambo ambalo kakurupuka ni pamoja na hili! bila posho walimu hawatakua na moyo wa kusahisha pia watajikimu vipi wanapokua mbali na mazingira yao ya kazi, pia suala la usafiri watasafirishwa vipi bila posho?

hapa Profesa ajiangalie upya na hili litamshinda nauhakika
 
Wale mnaotarajia kwenda huko tafuteni sicksheet muone daktari akuandikie permanent sickness ili usiende kufanya kazi ya bure, atawatafuta wajinga wakasahihishe kwa bure
 
Back
Top Bottom