Waziri wa Elimu Prof. Ndalichako afuta posho za kusahisha mitihani ya Mock na NECTA

shida sana,kumtukana mtu usiyemjua,nikama unajitukana mwenyewe,kuna kila dalili wakati unazaliwa ulitanguliza MIGUU badala ya kichwa
Unalaana wewe unamtukanaje babaako ...hujui kuwa bibiyako alipata kazi sana kukupatia baba...naona mamaako kakufunza ujinga..ubarikiwe sana kijana..
 
serikali iwaongezee mishahara walimu kwani posho sio ishu sana ata wakiziondoa..
 
elimu na siasa ni maji na mafuta..... wanasiasa wetu wakileta siasa kwenye elimu watasababisha anguko kubwa
 
ujue mimi sifirii kutosa kwa walimu ila nafikiria mkopo jaman utatoka???serikali haina pesa mjue na maisha yamekuwa magumu sana hivo naamin wengi tutachinjwa time will tell.
 
Wizara ya elimu sayansi na teknolojia imefuta posho ambazo walikuwa wanalipwa walimu pindi wako kwenye kazi ya kusairisha mitihani kama pesa yao ya kujikimu badala yake serikali imedai kuwa zoezi hilo ni sehemu ya kazi yao wakati huo posho hizo zilikuwa zinawasaidia walimu kujikimu pindi walipokuwa kwenye zoezi hilo.

Pia Prof. Joyce Ndalichako amesema yupo mbioni kuisuka wizara ya Elimu Upya.

Chanzo: Magazeti ya leo
Ebu ngoja tusubiri tuone kama kweli
 
Aisee !!!
1475166776479.jpg
 
Hili haliwezekani na tusidharau taaluma ya uwalimu kwakweli kama wanataka wafute posho zao basi na hiyo mitihani wakasahihishie mashule kwao kule na kuliko kutengwa mtu anasahihisha kwa umakini mkubwa afu asipewe posho hilo si sahihi waziri amekurupuka
 
ujue mimi sifirii kutosa kwa walimu ila nafikiria mkopo jaman utatoka???serikali haina pesa mjue na maisha yamekuwa magumu sana hivo naamin wengi tutachinjwa time will tell.
Acha utoto kijana serikali iko na pesa ya kutosha. Tanguliza uzalendo
 
Back
Top Bottom