Mustaphagentleman
JF-Expert Member
- Jun 22, 2016
- 3,954
- 3,011
To Be Honest ualimu Hasa Seriakalini ni michosho tuu
Aanze kujifutia posho yeye kwanzaProfessor of what?
Kama ni hivyo basi kila shule iwe na mitihani yake na isahihishwe na walimu wahusika. Kusiwe na mtihani wa taifa.
Posho zote zifutwe kwa wafanyakazi wa idara zote, kuanzia wabunge na mawaziri, hata kama ni safari, kama ni ya kikazi wasilipwe.
Tofautisha kati ya jeshi u know Jeshi.......na Taasisi zingine za mkonge.Pia zifutwe posho za maaskari kwenye malindo usiku,ni sehemu ya kazi yao.
Acha kuwadhihaki walimu. Wanafanya kazi kubwaNina nyoto au ndo ukweli? Tulieni dose iwaingie sawa sawa
Mwalimu gani ameambiwa achangie meza yake ya kukalia? Pia naomba uache mara moja kuwakatisha wenzako tamaa. Naonba ufahamu kuwa serikali hii inawapenda wafanyakazi wake wote ikiwemo na walimu. Tena walimu ni miongoni mwa wafanyakazi wanaolipwa vizuri katika nchi hii. Nashauri walimu na wafanyakazi mtumie muda wenu wa ziada kujishughulisha na kazi na shughuli za uzalishaji Mali ili muweze kukidhi mahitaji yenu mengine.Eti matunda!!!! fild zingine mbona hamzigusagi ovyo ovyo,.....
Futeni basi na hizi posho kwani ni moja ya sehemu ya majukumu ya kazi ya wapokea posho hizo.........
a) posho za wabunge
b) posho za madiwani
c)posho za vikao vya halmashauri na wilaya
d) posho za maaskari pale wanapo safirisha wafungwa
e)posho za madaktari na wauguzi
d) posho za majaji, mahakimu na TRA
Field ya ualimu ndio fild pekeee ambayo mwalimu anakatwa mshahara wake kuchangia darasa, dawati, na meza yake ya kukalia ofisini!!!
haijawai tokea askari kukatwa mshahara akachangia kununua pingu, kupanua gereza ama godoro la kulalia mfungwa!!!
haijawai tokea daktari akakatwa mshahara kununua kitanda, godoro ama shuka la mgonjwa
mwaka jana waalimu hawa hawa walisimamia mitihani ya kidato cha nne, bila aibu serikali hii imewadhulumu na mpaka leo hijawai walipa!!! nabungeni walikiri kuwa hawaja walipa lakini wiki mbili zilizo pita waziri uyo uyo kaja na takwimu kuwa kesha walipa wooote !!!!
namshukuru mungu aliye nipa nguvu kuachana na kazi na nawapa pole mlio baki humo jamani!!! nina miaka miwili sasa nipo uraiani natafuta kwa jasho langu!!!
kazi kama imelaaniwa vile!!!! kila kiongozi ameshawaona waalimu kama maboya!!!! ni vitisho, dharau na kejeli kila kukicha!!!
waalim nao kutokana na umaskini walio nao wanshindwa kupaza sauti kuyakemea haya, wanagugumia myoyoni na mgomo wao wanauamishia kwa watoto!!!!
sijawai kuona kazi ya ajabu ajabu kama ya ualimu nchin TANZANIA!!! hawa watu sio lazima muwape mishahara mikubwa!!! hata mkiwaheshimu tu na kuwa aknoweldge ni mshahara tosha!!!!
mnawafanya kama watoto!!! madaraja kuwapandisha mpka mtake nyinyi, mwenge ukipita mnawakata kimyakimya,!!! hamna aibu....????
skuizi wengi wamekua wajasiliamali na kufanya ualimu kama sorce yakupata mikopo kufanya biashara zao binafsi na sio kufundisha!!! tafuta mwalimu yeyote asiye jishughulisha, yaani awe yeye na mshahara mshahara na yeye hana tofauti na mtu asiyenakazi!!! wengine msio kwenye fild mtasemahana malengo!!!
huu ni upuuzi !!!!!!!!!!
shame on you AFRIKA kwa kupuuza elimu!!!!!! aibu kwako waziri kwa kuwa mwalimu unae waumiza waalim wenzako!!!! hemu waeshimu kidogo icho unacho waondolea ndio una wa demolorize totaly!!!
Kwahiyo taasisi ya elimu ni ya mkonge?Tofautisha kati ya jeshi u know Jeshi.......na Taasisi zingine za mkonge.
Unaeza ukamlinganisha Askari na Mwalimu.......kwani kushika chaki Ni kazi ngumu sana....?!??? Kama kupambana na majambazi kulala nje......n.kKwahiyo taasisi ya elimu ni ya mkonge?
Wala siwadhiki bali mnaugua ugonjwa wa kutojiamini kwasbbu ya uwezo wenu wa ufahamu.Acha kuwadhihaki walimu. Wanafanya Nazi kubwa
Mwalimu gani ameambiwa achangie meza yake ya kukalia? Pia naomba uache naea moja kuwakatisha wenzako tamaa. Naonba ufahamu kuwa serikali hii inawapenda wafanyakazi wake wote ikiwemo na walimu. Tena walimu ni miongoni mwa wafanyakazi wanaolipwa vizuri katika nchi hii. Nashauri walimu na wafanyakazi mtumie muda wenu wa ziada kujishughulisha na kazi na shughuli za uzalishaji Mali ili muweze kukidhi mahitaji yenu mengine.
Hata hivyo naomba mfahamu kuwa wafanyakazi wote wa umma hawafiki laki 6. Watanzania wapo zaidi ya milioni 40. Serikali hii IPO kwa ajili ya kuwatumikia wananchi wrote siyo wafanyakazi tu.
Hapa no kazi tu.
Asanteni.
Binti ni vyema ukijiheshimu. Namna ya serikali kukukamata ipo. Serikali ina mkono mrefu. Wewe hukulazimishwa kufanya kazi serikalini na wala hakuna aliyelazimishwa.Wala siwadhiki bali mnaugua ugonjwa wa kutojiamini kwasbbu ya uwezo wenu wa ufahamu.
Yaani kuna mtu kaheuka utafikir mimi ndo ndalichako....aisee kamtafute huko huyo k.i.l.aza mwenzako.mimi kukusifia isiwe ndo mwanzo wa kupandisha nyeg@...kama hasira mpelekee aliyekushauri kuwa mwalimu idiot
Maafisa unamaanisha wakuu WA shule? Maana mapendekezo ya nani akasahihishe yanafanywa na wakuu wa shule sio maafisa. Unalitambua hilo?........Kuna Watu watazimia Jamanii maana daah ! hali inazidi kuwa mbaya kila kukicha ....ila itasaidia maana kuna walimu wana zaid ya miaka 10 kazini hawajawahi kusimamia mitihani kwa sababu ya upendeleo wa maafisa.wajigawie posho sasa tuone
Unalaana wewe unamtukanaje babaako ...hujui kuwa bibiyako alipata kazi sana kukupatia baba...naona mamaako kakufunza ujinga..ubarikiwe sana kijana..shida sana,kumtukana mtu usiyemjua,nikama unajitukana mwenyewe,kuna kila dalili wakati unazaliwa ulitanguliza MIGUU badala ya kichwa