MtamaMchungu
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 8,345
- 11,227
Kweli ufupi kazi, kila mtu anakuandama
hahaha ntakuwa mwenyewe vp tulikutana theatre II nin?
Haaaaahaaa Kongosho...
Lugha: She is .. Mr...... hahaaaaa the answer is there already.....
he he he, wafupi wana kadhia yako ya 'possession'
ila wana akili, hilo tu.
Kuna mahali nilienda fanya kazi, huyo mbaba mrefuu afu bonge la mwili, lakini ubongo wake ulikuwa piriton.
kwenye mdigirii
she is Mr. President.
Atanyang'anywaje tena?
Nahisi kakutana na sharobaro fupi kidogo limwingize mkengeni
Just my assumption
am not done . . .
hahahaha Kongosho u've made ma day! Sikaagi sana pale...mi academic bridge ndo penyewe...kula cafteria II
Waoh so Mr. President is she;
Wonders shall never end......
Will be done kiukwelii soon.....
mmmhh, wee mbona unapenda kuvaa T.shirt ya njano?
research yako, mfupi ni kuanzia sentimita ngapi?
Kuna ukweli kiasi.
[/QUOTE]Wanaume wasio na kasoro based on your argument wanapatikana Kwenye film za mapenzy tu! They are not real!
QUOTE=Mr. President;4718569]... Wanaume wenye kasoro hizi hujikweza sana kwa wanawake kwa njia mbalix2, mfano, msgs, facebook, picha mbalimbli nk...
Kasoro.....
1: Wanaume WAFUPI....
Hawa hawajiamini siku zote.... ni wengi ni wa show off kwa mademu, hasira kwao ni jadi... wanawake wengi huwachukia.... wanajisifia kwa vyote kuficha kutokujiamini kwao.... ukiwasikiliza utashangaaaa...
2: Wanaume MASKINI ILA ANAPENDA USHAROBARO...
... Hawa sina la kuwaelezea.... utafikiri Jay-Z au P-Diddy kwa nje.... Ila sasa wajue walivyo utashangaaa, ila wanawalamba mademu wa shapshap ambao hawana serious future relationship.......wanajisifia kuficha HALI YAO HALISI NGUMU....
3: Wanaume wanaojifanya WAJUAJII...
yaani hawa waangalie sana wanataka waonekane wanajua....kila kitu....tena atabishana hata na mtaalamu wa fani fulani.... YOTE KUFICHA MAPUNGUFU YAO.... YA KUTOKUJUA, labda ana kiwango kidogo cha elimu etc....
4: WANAUME WENYE FEDHA HALAFU MASKINI WA ELIMU.....
Hawa hawana tofauti na sharobaro, opposite is true....
Researched & comfirmed.....
I am done....