Wanaume wenye mapungufu haya hujisifia kwa wanawake waonekane wako juu...

Mwenye pesa afu elimu hana...afu akutane na wife au girlfriend alomzidi elimu lazima wife/girlfriend ajuuute kumfahamu...ni wanyanyasaji sana; wanataka kukuonyesha kuwa pesa ni kila kitu.

Na wanapenda wenye elimu ili wa show off kuwa wanaweza kuwa na mwanamke yeyote as long as wana pesa.

on Point.
 
DU Leo ndio nimejua kuwa mfupi ni kasoro SAWA na kuwa hauna pesa, sawa na kuwa sharobaro maskini DU.kua uone .
 
Mbona umefufua uzi wa longi, kuna mtu unataka asome nini?

My bad kumbe Preta ndio alikuwa anasend meseji sehemu.

Just my assumption....

I am done......

Hi hi hi hi.........ujumbe wangu upo no 2............:A S shade:
 
Mbona umefufua uzi wa longi, kuna mtu unataka asome nini?

My bad kumbe Preta ndio alikuwa anasend meseji sehemu.

Just my assumption....

I am done......
Ntahitaji kuombwa radhi kabla sijafanya maamuzi magumu.......

Umenizalilisha ujue....

Matikiti itakuwa historia.....
 
'unaposema sera ya ufupi, elimu na fedha yaani umaskin unagusa watu wengi. Kuwa specific katika utafiti wako usije ukasema na mim ni mjuaji bure
 
Hahahaaaa!! Wasio na pesa ni full stress, angalia hata nyuzi zao humu, full kutusi na kuchamba wanawake, full kujistukia, kukuattack na mitusi muda wowote kwao ni kawaida.
 
Wacha nipite maana ushasema ambayo ningeyasema.

Yaani ni taabu, mwanaume unatoa wapi muda wa kutukana watu mitandaoni? Uvivu tu, wakati wenzao wanapiga kazi huko wanazisaka, stress zao wanakuja kumalizia kwa watu wasiohusika nazo.
 
Yaani ni taabu, mwanaume unatoa wapi muda wa kutukana watu mitandaoni? Uvivu tu, wakati wenzao wanapiga kazi huko wanazisaka, stress zao wanakuja kumalizia kwa watu wasiohusika nazo.

hapo chacha!!

Wanaume wa siku mmmh!!!!Ndio maana wanapenda kulelewa.
 
Mmmmmm ila wadada wafupi jaman sazingine ni full matatizo wana hasira za karibu mpaka basi
 
Back
Top Bottom