Wanaume wenye mapungufu haya hujisifia kwa wanawake waonekane wako juu...

hivi inahusika hata kwa wanawake au wanamme tu?

Mie ni 'tall' kweli

bado najifanyia risechi ni kilaza au kipanga?

Huwezi jifanyia research mwenyewe.... hahaaaaa ukatoa majibu mabaya yako..... hhheeee...
 
hawa hawachelewi kumwamnia mke aache kazi/biashara akae nyumbani.....
kuna tajiri mmoja alikuwa kahama, ni darasa la pili alikimbia shule....ameoa mwanamke msomi, mwanamke alikaa kama miaka mitano ivi,uzalendo ukamshinda, wakamwagana, demu akaenda kutfuta kazi...manake walivyo na wivu, mwanamke hata asitembelewe na wafanya kazi wenzake au asiwatembelee anasema wanajifanya kuongea mambo ya kisomi kumbe wanatongozana....biashara zake zilikuwa za kichawi nakumbuka kipindi kile nusura turushiane mangumi n amimi ananihisi namchukulia mke wake kwasababu tu amenichangamkia na nikamsalima "how have you been?"....kaazi kwelikweli.
 
Uwwwwwiiiiii..... hhhhhhaaaaaaahaaaa..... kaaa kazi kweli dunia hii....

kuna tajiri mmoja alikuwa kahama, ni darasa la pili alikimbia shule....ameoa mwanamke msomi, mwanamke alikaa kama miaka mitano ivi,uzalendo ukamshinda, wakamwagana, demu akaenda kutfuta kazi...manake walivyo na wivu, mwanamke hata asitembelewe na wafanya kazi wenzake au asiwatembelee anasema wanajifanya kuongea mambo ya kisomi kumbe wanatongozana....biashara zake zilikuwa za kichawi nakumbuka kipindi kile nusura turushiane mangumi n amimi ananihisi namchukulia mke wake kwasababu tu amenichangamkia na nikamsalima "how have you been?"....kaazi kwelikweli.
 
Mkuu sikuwezi haaaahaaaa...
So wee ni kijana mzee.....

QUOTE=Janjaweed;4718932]nina miaka zaidi ya robaini ntarefuka vipi tena??

napenda usharobaro

nina pesa lakini elimu nehi che

najifanya mjuaji dunia nzima

kazi sana kubadilika[/QUOTE]
 
Yeah Wanaume wafupi wana psychological problems....
wanajisifiaaa sanaaa....
Halafu siku zote wakitembea wanaruka design wanafikiri watarefuka!!! Ha ha ha ha. Tunachekana ati. Wadada wengi huwa wanawapotezea sana.
 
duh,hyo na. 1 nshakutana nayo!

Na wanapenda mademu wengiii na wanataka kuwa nao kwa show off mara nyingi, ila demu mwelewa anawapaga live... kwa kuwa hawajiamini wana wivu sana kwa mademu wao tena bila kuwa na ushahidi hata wa msgs kuwa demu wake ana uhusiano kwingine...
 
Halafu siku zote wakitembea wanaruka design wanafikiri watarefuka!!! Ha ha ha ha. Tunachekana ati. Wadada wengi huwa wanawapotezea sana.

Viatu soli yake sasa... KUBWAAAAA kuongeza urefu..... hahaaaaa.....
 
Ila kuna ukweli ''wakati wanapewa urefu..Sisi tulikuwa tunapewa maarifa''
ukwel ni kwamba wafupi ni wabishi ka mimi lkn kwa kitu ambacho na kijua na sibishani kwa kitu ambacho ckijui

mf: ubishi wangu mimi umenilete faida nyingi tu
simu,cmputr,tv,monitor,nk vikiharibka lazima kwanza mikono yangu itumike nikifail ndipo nimuone fundi
hata kama sjui na sjawahi kukiona hicho kitu lazima kifunguliwe kwanza!
Na ndo maana nilikuwa nikitoka shule tu kitaa watu wananiami nakuta majenereta,simu, na lazima vinatii amri per day 15000 af student
hapo vipi! Najivunia kuwa nilivyo!
Ndo maana nilienda Veta skuona course
nikaona fani zote za kitoto!
 
Viatu soli yake sasa... KUBWAAAAA kuongeza urefu..... hahaaaaa.....

Ha ha ha ha tunaita raisoni!!!!! sasa omba avae suti!!! Wengi huwa hawapendi kuvaa suti maana koti linawameza!! Ni mashati ya kung'aa ili waonekane!!
 
hata ukipanda kwenye stuli haisaidii?

Au utengeneze magongo ya ngongoti?

nina miaka zaidi ya robaini ntarefuka vipi tena??

napenda usharobaro

nina pesa lakini elimu nehi che

najifanya mjuaji dunia nzima

kazi sana kubadilika
 
Ubishi wa kimasomo, kazini, kwa jambo unalojua ni kweli hiyo si TATIZO WALA KASORO....

HAPA TUNAONGELEA ubishi wa mahusiano, wafupi wanajitangaza sanaaaa kwa mademu na ni wabishiiii sana kwa mademu na watu wengine ... SOCIALLY...

Ila kuna ukweli ''wakati wanapewa urefu..Sisi tulikuwa tunapewa maarifa''
ukwel ni kwamba wafupi ni wabishi ka mimi lkn kwa kitu ambacho na kijua na sibishani kwa kitu ambacho ckijui

mf: ubishi wangu mimi umenilete faida nyingi tu
simu,cmputr,tv,monitor,nk vikiharibka lazima kwanza mikono yangu itumike nikifail ndipo nimuone fundi
hata kama sjui na sjawahi kukiona hicho kitu lazima kifunguliwe kwanza!
Na ndo maana nilikuwa nikitoka shule tu kitaa watu wananiami nakuta majenereta,simu, na lazima vinatii amri per day 15000 af student
hapo vipi! Najivunia kuwa nilivyo!
Ndo maana nilienda Veta skuona course
nikaona fani zote za kitoto!
 
Ha ha ha ha tunaita raisoni!!!!! sasa omba avae suti!!! Wengi huwa hawapendi kuvaa suti maana koti linawameza!! Ni mashati ya kung'aa ili waonekane!!

Kuna jamaaa mfupiiii anajisifiaga eti SIJUI ANA NINI MADEMU WANA MPENDA SANA.... tena jinga anajitangaza kwa wanaume wenzake .... Ukimwona mtu mwenyewe..... hahaaaa kituko mlo mmoja, chumba kimoja ila kwa njeee mavazi, maneno mengi ka Jo Makini...
Hamna lolote... Ila analamba videmu...
 
nina urefu wa futi 5.6, kwa hyo na mi mfupi?, ninapenda kuvaa vizuri ila ni lofa hatari, ni kipanga, ni mbishi kwa kile nachokijua na kukiamini, nipo social japo cpendag kujpendekeza kwa watoto wa kike...
 
Kuna jamaaa mfupiiii anajisifiaga eti SIJUI ANA NINI MADEMU WANA MPENDA SANA.... tena jinga anajitangaza kwa wanaume wenzake .... Ukimwona mtu mwenyewe..... hahaaaa kituko mlo mmoja, chumba kimoja ila kwa njeee mavazi, maneno mengi ka Jo Makini...
Hamna lolote... Ila analamba videmu...
Khaa kuna kamoja kapo taasisi ya serikali ya mawasiliano jina linaanza na D!!! Ni mfupi na anajidai!! Anauza sura FB na kutongongoza wasichana huko huko, yeye sijui wanampendea nini maana hata mavazi ni kaputi kabisa. Huwa kazi yake hata kwa mashuga mummy anakamata na kuhama home kabisa na kuoa na kuacha kila siku. Kuna dada alishamtoa hapa JF na kumsambaza mitandaoni maana naona walifikishana pabaya. Kuna jamaa yangu namtembelea kazini kwao na siku moja akanitambulisha du skendo zake ni hatari.
 
13 Reactions
Reply
Back
Top Bottom