Wanawake wenye hipsi na makalio makubwa chanzo cha ukatili kwa wanaume

Loading failed

JF-Expert Member
Sep 14, 2023
1,945
5,850
Ndugu zangu , ikiwa ni siku nyingine tena nina wasalimu kwa jina la mshikamano wetu kama wana Jf, na kwa wale wasio wana Jf basi wasikonde nao na wasalimu ila wajitahidi na wao kua miongoni mwao.


Ndugu kwa masikitiko makubwa sisi wanaume wengi tunatambua kwamba tunapenda na kuvutiwa na wanawake wenye makalio makubwa na hipsi za kichochezi na uchokozi wa hali ya juu.

Ndugu wanawake hawa wenye matrako makubwa na mahipsi yao yakueleweka wametambua hilo na kugeuka mwiba wa mateso kwa wanaume wengi sana hasa sisi wa kitanzania,

Ndugu makalio makubwa na mahispi yamekua ni silaha ya kumuadhibu , kumtesa na kumuangamiza mwanaume kiasi kwamba hata hawa wanawake njiti na flat na wenye maumbo yasiyoeleweka wanatamani sana kupata silaha hiyo adimu sana na hadi kuwapelekea kutengeneza makalio yao madogo yawe makubwa baada ya zile tite zenye maforonya na hipsi fake kuwasaliti wawapo faraga na wapendwa wao

Wanawake wenye hipsi na matrako makubwa wamekua na ujasiri mkubwa sana na uhakika wa maisha kwa kutumia furushi lake huko nyuma kama silaha moja wapo ya kuwanyanyasa wanaume kiakili, kihisia na hata kiuchumi .


Ndugu zangu silaha hii imekua ni sila ya kinyuklia inayo muua mwanaume ndani kwa ndani na hatimaye kujionyesha nje na mbele za jamii.

Hipsi na matrako makubwa yamekua ni silaha kubwa na hatari sana zaidi ya "MACHOZI YA MWANAMKE"

Wanaume wanaomiliki wanawake wa aina hii ya wenye hipsi na makalio makubwa sana wanateseka sana na hawana pakusemea kwa kupumbazwa na hipsi na kalio kubwa la ampendae.

Wanaume hawa wamekua wakipitia kadhia za manyanyaso ya kiakili, kimwili ,kihisia , kiimani na kiuchumi kama ni navyo ainisha hapa kwa uchache.

1: Wanapitia sana maradhi ya afya ya akili, kisukari na preaha na hii hutokana na msongo mkubwa wa mawazo na lishe mbaya unaosababishwa na huyo mwanamke wake mwenye Trako kubwa na hipsi lake

2: Hawawezi kufanya maamuzi sahihi kiwepesi mno yatakayoleta chachu za kimaisha baina yake na mwanamke wake

3: Hawana uhuru wa kuzungumza kwa lolote kama mwanaume inapotokea changamoto za kuwekana sawa na mwanamke wake

4: Hawana uhuru wa kiuchumi wala wakubhana matumizi , pamoja na kufanya uwekezaji zaidi na zaidi ilikujiinua kutokana na kipato chake kumilikiwa na mwanamke wake

5: Hawana uhuru wa kufanya machaguzi pindi wawapo na wanawake wao out-day au faragha

6: Hana uhuru wa kuachana kwa amani hasa pale mwanamke wake anapo msaliti na mwanamke wake mwenye Trako kubwa na akaendelea kuishi kwa amani hatakama anateswa na mwanamke wake

7: Hawana uhuru wa kimawasiliano na kutoka /kusafiri popote bila maridhiano

8: Hawajiamini , wenye hofu na mashaka wawapo na wake zao wa aina hii tajwa hapo juu

9: Wanapitia sana changamoto za ukosefu wa nguvu za kiume

10: Hawana amani ya moyoni pindi mwanamke wake anapoongea na wanaume mwingine kwa namna yeyote ile.

Ndugu zangu Tunatambua hii silaha ya sasa ni hatari sana ukiacha silaha ile ya awali ya "MACHOZI YA MWANAMKE" kwa watoto wa kiume, vijana na wazee kwa namna zao , wanaume wanateseka sana na wananyanyaswa sana na wanawake wa namna hii na hawana pakusemea wala hawana mtetezi wao.

Pia sisi kama wanaume tunajua ni risk sana kumiliki mwanamke mwenye hipsi na kalio kubwa ila ndiyo hivyo tunazidi kujiangamiza ,

Sasa ndugu zangu tusaidiane kama wanaume na tuwaeleweshe watoto wa kiume kwa marika yao namna ya kudili na hii silaha hatari tukizingatia sasa ndani ya nchi zimekua zikizalishwa na sasa kuanza kutengenezwa fake katika hospitali ya mloganzila kama walivyo ainisha wao wenyewe kwamba wameanza kutoa huduma ya kuongeza makalio kwa wanawake .

Wanawake wenye makalio makubwa , wenye maumbo yenu mtambue mtakufa na yataoza na kuliwa na wadudu, hivyo ishini na sisi wanaume kwa kutuheshimu nakututii , huku tukizingatia hapa duniani sisi ni wapitaji


Nb: UGONJWA WA KANSA UPO KANSA INAUA NI HERI KUTESWA NA MWANAMKE MWENYE MAKALIO MAKUBWA HALALI KULIKO KUTESWA NA KUNYANYASWA NA MWANAMKE MWENYE MAKALIO MAKUBWA FAKE,

""EWE MWANAUME UKISHUPAZA NA UKAFATA KALIO FAKE JIANDAE KUJA KUMUUGUZA MKEO KANSA.""
View attachment 2790006View attachment 2790007
 
Nimeskroo Uzi wako bila kusoma Kwanza nikiamini Utakuwa umeweka na viambatanisho kama picha hivi ili kuusapoti Uzi wako,,Lakini Holaa!!Jirekebishe broo!!
 
Hiyo
Screenshot_20231023-100915.jpg
 
Mbwembwe zote za nini,wakati hata likiwa kavu ni tamu tu mkuu😋
Mimi ndio napendaga liwe hivyo ili kupunguza friksheni Kati ya bolo langu na kwenye kuta za **** yake pindi Napo kuwa namtwanga Kwa kuwa mimi si mpenzi kabisa wa matumizi ya mipira Bolo(kondomu)!!
 
Mkuu naunga mkono hoja, wanaume wenzetu wanateseka sana hasa pale anapomiliki mwanamke mzuri mwenye wowowo kama ulivyo ainisha hapo juu.

Wanaume tajwa hapo juu huishi kwa mashaka, hofu na moyo kwenda mbio muda mwingi na hasa pale mwanaume huyo akiwa chini kiuchumi 😄

Nakazia ndyo mkeo huyo ametulia sna na anakuheshimu Ila si kweli katika wanaume kumi watakao mtongoza wote atawachomolea kwa kuwatukana matusi mazito wasimzoee

Kuna moja kati hao kumi atalegezewa tu kwa upendo wa agape mwishoe chaliiiii

Anyway Ila mke mzuri raaa aisee sema ndo ivyo kuteseka ni nje nje 😂😂😂
 
Back
Top Bottom