Wanaume wenye mapungufu haya hujisifia kwa wanawake waonekane wako juu...

sawa ni mfupi,sawa hana hela,sawa hana akili,sawa havutii
sasa ndo akose hata mkwara tu wa kuwatisha wengine wanaoamini hawana kasoro!ahahahhahaha kuna msemo wanasema nguvu huna,hela huna hata mkwara tu nao unakushinda!muuwaache wakaka wa watu wenyewe maover confo yao yanawapa mabingo kila siku mjini hapa!
 
hii utanipa aisee
kuna jirani yangu kila siku yeye analalamika 'majini'
nataka aone 'maziwani'

Just take a small swine/pig bone weka @ ur door wallahi hata Sheikh Yahya angekuwa hai aje na majini yake yote... That is FULL STOP NA NEVER COME BACK.... wanaokula kitimoto hawashikwi na ujinga ujinga sijui wa kupandisha majini au kulogwa, never... Hot fire si mchezo...!!!!
 
ni kazoro sababu inasababisha 'short man syndrome'

Ninavyojua mimi ufupi,hela yote sio kasoro ni utofauti wa muonekano kati ya mtu mmoja na mwingine.Unaposema ufupi ni kasoro unatakiwa ufafanue ni kasoro kivipi!
 
Ninavyojua mimi ufupi,hela yote sio kasoro ni utofauti wa muonekano kati ya mtu mmoja na mwingine.Unaposema ufupi ni kasoro unatakiwa ufafanue ni kasoro kivipi!

Ur right, ILA TABIA ZA WANAUME WAFUPI NDIO KASORO ZAO.... sio height ndio kasoro, but behaviours they possess
 
Back
Top Bottom