Wanaume wenye mapungufu haya hujisifia kwa wanawake waonekane wako juu...

mmmmmhhhhhhh

nina urefu wa futi 5.6, kwa hyo na mi mfupi?, ninapenda kuvaa vizuri ila ni lofa hatari, ni kipanga, ni mbishi kwa kile nachokijua na kukiamini, nipo social japo cpendag kujpendekeza kwa watoto wa kike...
 
Zogwale na Mr. President mmenichekesha san mnavyowaelezea, eti viatu raisoni, koti kubwa na shati la kung'aa lol

Bila hivyo wanafikiri hawaonekani aiseee. Ila kwa kurusha mishale ni mafundi maana wanajua kudanganya sana!!! Unajua warefu ukiongea binti anakutizama kwa juu anakuona, sasa wafupi kama binti kamzidi hamuoni akidanganya!!! Ha ha ha ha ngoja tucheke weekend!!
 
hata ukipanda kwenye stuli haisaidii?

Au utengeneze magongo ya ngongoti?

siwezi aisee, ntashindwa kukimbia nikitukana watu.... I am only 5'7" hivyo ntahitaji maybe 6 inches kufika a desired height, i cant labda niongeze kwenye spine, kwenye kichwa, kwenye miguu sehemu zote mbili (mapajani na kwenye ngoko)... tatizo vimikono vitakua kama viko kwenye hanger
 
tatizo nikirefuka sasa hivi kila mtu atajua ni feki

ntakua kama wadada wenye fake hair, eye lashes, lips, boobs, butts, nails, vizu, eye colors and still pretending to be real

Utawaambia ulipita kwa Dr. Isaack Ndondi au Manyaunyau kuna mtu aliyekuroga uwe andunje na sasa umepata matibabu
 
Utawaambia ulipita kwa Dr. Isaack Ndondi au Manyaunyau kuna mtu aliyekuroga uwe andunje na sasa umepata matibabu

hahahaaaaaaaaaaaaaaa
dola.jpg
 
duh, hivi huu urefu bado hautoshi?

siwezi aisee, ntashindwa kukimbia nikitukana watu.... I am only 5'7" hivyo ntahitaji maybe 6 inches kufika a desired height, i cant labda niongeze kwenye spine, kwenye kichwa, kwenye miguu sehemu zote mbili (mapajani na kwenye ngoko)... tatizo vimikono vitakua kama viko kwenye hanger
 
she is Mr. President.

Atanyang'anywaje tena?

Nahisi kakutana na sharobaro fupi kidogo limwingize mkengeni

Just my assumption

am not done . . .
Looks like Mr. President is -:

Super tall
Loaded
Full maconfidence
Handsome
Gentleman

Ila akapokonywa na mwanaume wa typo hiyo hapo juu.

Just my assumption.......

I am done........
 
she is Mr. President.

Atanyang'anywaje tena?

Nahisi kakutana na sharobaro fupi kidogo limwingize mkengeni

Just my assumption

am not done . . .

she is Mr. President.

Atanyang'anywaje tena?

Kaunga Nahisi kakutana na tapeli fupi kidogo likampiga sound

Just my observation

am not in process of done . . .
 
Haaaaahaaa Kongosho...

Lugha: She is .. Mr...... hahaaaaa the answer is there already.....

she is Mr. President.

Atanyang'anywaje tena?

Nahisi kakutana na sharobaro fupi kidogo limwingize mkengeni

Just my assumption

am not done . . .
 
In short my cousin kaumbuka sana....

Tulimkanya aachane na ka short guy ni tapeli hana ana mbele tu nyuma hana.... She didn't listen....

Leo cousin kamfuma... na demu geto kwake, cousin akaanza kumwaga wanaume wafupi walivyo na sifa na maneno hawana lolote, nikameuliza mmeshakuwa marafiki miezi 3 sasa, akasema alikuwa ana mwona mtu mwenye maneno matamu kila simu na akampenda... kumbe ndio zake....

she is Mr. President.

Atanyang'anywaje tena?

Kaunga Nahisi kakutana na tapeli fupi kidogo likampiga sound

Just my observation

am not in process of done . . .
 
Back
Top Bottom