Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 46,978
- 32,387
- Thread starter
- #81
Ndesamburo aliahidi kuanza kutekeleza ahadi ya Nassary ya kutatua tatizo la maji hapa Arumeru na Siyo Ndesamburo aliyekuja na ahadi hiyo moja kwa moja kana kwamba haikuwa ahadi ya Nassary hapa Arumeru. Majungu hayatawasaidia fanyeni kazi.
Mkuu, mbona unapotosha wote tunakumbuka wakati Tume ya Uchaguzi ikimtangaza Nassari mshidi wa kiti cha ubunge Arumeru Mashariki, Nassari kwa kauli yake alisema Mzee Ndensamburo, ilitoa offer nikishida ubunge atajenga visima vitatu kwa hiyo kesho tunaanza kujenga kimoja akataja sehemu nimeisahau...tatizo la wananchi wa Arumeru wanaulizia ahadi aliyoitoa Nassari ya kushusha bei ya sukari imefikia wapi?