Wananachi wa Arumeru Mashariki wanaulizia ahadi ya Mbunge wao kushusha bei ya sukari

Ndesamburo aliahidi kuanza kutekeleza ahadi ya Nassary ya kutatua tatizo la maji hapa Arumeru na Siyo Ndesamburo aliyekuja na ahadi hiyo moja kwa moja kana kwamba haikuwa ahadi ya Nassary hapa Arumeru. Majungu hayatawasaidia fanyeni kazi.

Mkuu, mbona unapotosha wote tunakumbuka wakati Tume ya Uchaguzi ikimtangaza Nassari mshidi wa kiti cha ubunge Arumeru Mashariki, Nassari kwa kauli yake alisema Mzee Ndensamburo, ilitoa offer nikishida ubunge atajenga visima vitatu kwa hiyo kesho tunaanza kujenga kimoja akataja sehemu nimeisahau...tatizo la wananchi wa Arumeru wanaulizia ahadi aliyoitoa Nassari ya kushusha bei ya sukari imefikia wapi?
 
Mkuu tunakumbuka kuchimba kisima ilikuwa ahadi ya Mzee Ndesamburo, tena kwa kauli yake Nassari alisema tumepewa Offer na Mzee Ndesamburo ya kuchimba kisima...acha kupotosha.

Ndesamburo alifanya vile kama mfadhili wa Nassary ili kutekeleza kile Nassary alichoahidi, na hata hivyo Ndesamburo ni mbunge wa CDM na hata vile visima vinajengwa kwakuwa Tulimchagua Nassary kama maelekezo ya kuvipata visima hivyo ilivyoelekezwa na Babu Ndesa kwamba sharti mojawapo Nassary awe Mbunge then mambo ya visima yatafuata na ikawa hivyo, visingejengwa hata hivyo visima mngechonga sana ila vimejengwa mnakuja na hoja za kitoto, kwani serekali ya JK ikijenga barabara yeyote pesa wanazipata wapi kama siyo kodi zetu tunazotozwa kila kona??.
 
Mkuu mimi huwa sibishani na watu kama nyie ambao sio waelewa. Hapa kinachoongelewa ni kuhusu "AHADI YA SUKARI HAIJATEKELEZWA" Hebu tujikite katika hili. sawa bwana?
Acha ujinga thread ilisema ahadi za Nasari kuchimba visima baada ya kukujibu post ya kwamnza kabisa ukabadilisha ukaja na hizi propaganda za kijinga....
 
Mkuu, mbona unapotosha wote tunakumbuka wakati Tume ya Uchaguzi ikimtangaza Nassari mshidi wa kiti cha ubunge Arumeru Mashariki, Nassari kwa kauli yake alisema Mzee Ndensamburo, ilitoa offer nikishida ubunge atajenga visima vitatu kwa hiyo kesho tunaanza kujenga kimoja akataja sehemu nimeisahau...tatizo la wananchi wa Arumeru wanaulizia ahadi aliyoitoa Nassari ya kushusha bei ya sukari imefikia wapi?

Unajua hili neno 'kupotosha' usilitumie kila mahali unapojisikia kufanya hivyo by the way swala la sukari nimekwambia atalipeleka bungeni, ngoja tusubiri bajeti ya wizara husika maana hili ni tatizo la kitaifa ambalo wabunge wazalendo wangetaka kuona linafanyiwa kazi. Swala la visima usiliongelee maana hukuwepo na naona huelewi hata aim ya Babu Ndessa hayo tuachie sisi tuliopo Arumeru kwa sasa maana ndiyo yanayotuhusu.
 
Mimi ninaongealea kabla hawajang'atuka (GAVANA fulani) aliichoma benki ili kupoteza kumbukumbu na wakasepa na pesa na inasemekana wakaanzisha chama fulani. Sijui ni kweli?

Hata wewe bwana Albert hajakusahau pamoja na huyu hapa mtokwa povu hapa chini
Wanabodi.

Habari tulizozipata kutoka kwa Wananchi wa Arumeru Mashariki, wanaomba kuuliza mbunge wao Joshua Nassari kafikia wapi kwenye ahadi yake aliyotoa wakati wa kampeni Arumeru Mashariki.

Mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua Nassari alitoa ahadi kwa wapiga kura wake Wananchi wa Arumeru Mashariki, kuwa wakimchagua kuwa mbunge wao Arumeru Mashariki atashusha bei ya sukari ndani ya miezi miwili.

Wananchi wapenda maendeleo Arumeru Mashariki wanahoji lini bei ya sukari itashuka kwenye jimbo lao.

"Any intelligent fool can
make things bigger, more
complex, and more violent. It
takes a touch of genius -- and
a lot of courage -- to move in
the opposite direction~
Albert
Einstein .
 
wanachi wa Arumeru wamemwani ndiyo maana wakamchagua wewe hata ukipiga kelele mpaka uzimbi masaburi wana arumeru ahata badilisha mawazo sisi tujadili ahadi za mbayuwayu ndiyo zinazotuhusu maana ni za kitaifa....Visima vimechimbwa, Mashamba yatarudishwa, ushuru wa kijinga pale tengeru zitakoma......awa alitoa ahadi awe ndesa, awe lowasa awe kichwa nazi

Ndugu huyu katumwa na SIOI SUMARI ambaye hajui Arumeru kama ni wilaya au mkoa, akasema 'ndugu zangu wa Mkoa wa Arumeru' teh'teh sasa anataka kupima hali ya upepo. Aliwalalamikia sana CCM kwa kumchafua kwakuwa alikuwa hataki kugombea na hereni zake.
 
Sensa ndio itakayotupa dira hata kwenye majimbo walioshinda CDM sasa wengine wameshaanza kugomea halafu unataka tutekeleze ahadi ya kushusha sukari bila ya kujua Arumeru wapo wangapi? Sijui hawa jamaa vipi!!!!!!!!!
 
Usiseme wananchi sema wewe pekee yako. Sisi bado tunamatumaini na CCM sio CHADEMA. Nasikia kunaviongozi wa chadema walishawahi kuchoma Benk kuu. Hivi ni kweli?

Na wewe sema unaimani na magamba,,, usiwe msemaji wa wengine.
 
Usiseme wananchi sema wewe pekee yako. Sisi bado tunamatumaini na CCM sio CHADEMA. Nasikia kunaviongozi wa chadema walishawahi kuchoma Benk kuu. Hivi ni kweli?
Kweli akili yako mbovu, unakataa nini na unafanya nini?
 
Hao wanachi wanatambua kuwa bajeti imesomwa, au wapo huko milimani tu??? Kama wamefuatilia wataelewa kuwa bidhaa zitashuka bei au la!! Btw, nawashauri waendelelee na moyo wa uvumilivu kwani hakuna namna ya kupunguza mfumuko wa bei kwa sasa.
 
Jamani toeni majibu vipi ahadi za wananchi? au ndio kusema kuwandanganya wananchi kwa sababu wanashida?

Ni kweli,hizo ahadi nyingi hasa ya kununua meli ziwa victoria na nyasa mbona kimya?
 
Jamani toeni majibu vipi ahadi za wananchi? au ndio kusema kuwandanganya wananchi kwa sababu wanashida?

Nyinyiem kitumbua kimeharibika mtahangaika sana, mmewabaka wananchi muda mrefu sasa wameshtuka ni zamu yenu.
 
Mkuu, mbona unapotosha wote tunakumbuka wakati Tume ya Uchaguzi ikimtangaza Nassari mshidi wa kiti cha ubunge Arumeru Mashariki, Nassari kwa kauli yake alisema Mzee Ndensamburo, ilitoa offer nikishida ubunge atajenga visima vitatu kwa hiyo kesho tunaanza kujenga kimoja akataja sehemu nimeisahau...tatizo la wananchi wa Arumeru wanaulizia ahadi aliyoitoa Nassari ya kushusha bei ya sukari imefikia wapi?
Mkuu ritz, wewe na CHADEMA tu! naomba unieleze kwani wewe ndie msemaji wa wananchi wapiga kura wa Arumeru?ulikutana nao lini wakakupa jukumu hilo?Au ni ule ugonjwa wako wa kila siku wa kujikomba kwa watawala bado unakusumbua?Mbona hizi ni propaganda za kitoto kupita kiasi mpaka unajidharirisha! kwani kazi za mbunge ni kupanga bei ya bidhaa? rudi shule jamaa yangu la si hivyo utaendelea kujifedhehesha.
 
Wanabodi.

Habari tulizozipata kutoka kwa Wananchi wa Arumeru Mashariki, wanaomba kuuliza mbunge wao Joshua Nassari kafikia wapi kwenye ahadi yake aliyotoa wakati wa kampeni Arumeru Mashariki.

Mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua Nassari alitoa ahadi kwa wapiga kura wake Wananchi wa Arumeru Mashariki, kuwa wakimchagua kuwa mbunge wao Arumeru Mashariki atashusha bei ya sukari ndani ya miezi miwili.

Wananchi wapenda maendeleo Arumeru Mashariki wanahoji lini bei ya sukari itashuka kwenye jimbo lao.

Acha uongo na usichafue hali ya hewa wewe. Hivi hao wa kwenu wa magamba mpaka kiongozi wao mmetoa ahadi ngapi na watanzania matatizo kibao? Halafu marehemu Sumari alikaa pale miaka yote alifanya nini? Wakati wakazi wa kule wanatumia maji ya mifereji isiyo salama na sasa inakauka kutokana na environmental degradation? Wacha we na usimfananishe na uongo wenu, eti ashushe bei ya sukari. Kwani yeye ndo alioleta wawekezaji wanaozalisha kidogo makusudi ili supply iwe ndogo na demand high mwishowe prices high? Ni yeye aliyeleta wawekezaji wa viwanda vya sukari ambao lengo ni kuzalisha kidogo ili serikali iagize sukari nje tena nchini mwao na wao wanakuwa pia among sugar importers? Tena usituchefue kabisa.
 
Mkuu ritz, wewe na CHADEMA tu! naomba unieleze kwani wewe ndie msemaji wa wananchi wapiga kura wa Arumeru?ulikutana nao lini wakakupa jukumu hilo?Au ni ule ugonjwa wako wa kila siku wa kujikomba kwa watawala bado unakusumbua?Mbona hizi ni propaganda za kitoto kupita kiasi mpaka unajidharirisha! kwani kazi za mbunge ni kupanga bei ya bidhaa? rudi shule jamaa yangu la si hivyo utaendelea kujifedhehesha.

Safi sana kamanda labda ulivyomjibu wewe anaweza kukuelewa maana nadhani huyu ritz kama alibahatika kufika darasa la 7 basi walimu wake walipata shida sana kumfundisha.
 
kwahiyo sukari itashuka bei Arumeru tu! Muulize kwanza mzee wa kulialia bungeni je sukari ilishuka! Utampaje Nasari jukumu la kitaifa, ina maana unataka Nasari ashushe bei ya sukari Tanzania nzima!
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom