Wananachi wa Arumeru Mashariki wanaulizia ahadi ya Mbunge wao kushusha bei ya sukari

Sisi Kyela wala sasa tumeamua kutomghasi Mbunge wetu Dr Mwakyembe kwani sasa kawa Mbunge wa Taifa na wala sio tena Mbunge wa Jimbo la Kyela!Hamna ahadi hata moja tuliyopewa toka 2005 ilitokelezwa!

Kwenye bajeti mpya hatujapewa mradi wowote mkubwa;hata mradi wa Meli ambayo Wizara yake ndiyo inasimamia hatujapewa;ahadi ya barabara ya Kyela-Matema tuliyohaidiwa toka 2005 sijaiona pia;zaidi zaidi tunamuona Dr Mwakyembe akipanda behewa kwenda Dodoma!Ukipanda behewa chakavu kwenda Dodoma ndiyo Kyela tutapata maji;umeme;huduma za matibabu na watoto wetu ndiyo watafaulu sekondari?
 
Jaman achen kututukana wana Arumeru.. Mbunge wetu hajawah kutuahidi kitu kama hicho... ,meru sio nchi ni jimbo halina kiwanda. Kuna mambo ya kijamii tuliyo aidiwa kama Maji, hospital na ardhi. Swala la sukari ni unafki tu wa Magamba.. Watu wa Arumeru tuna akili ya kutosha hatuwez danganywa kama ndugu zetu waliokulia ufukweni mwa bahari... Tunamwamin na anaweza...leo ametembelea baadhi ya vijiji na kusikiliza kero za wananchi na pia amefanya Harambee ya kuchimba visima.. Peoplesss.... Itikia basi acha unafki....
 
Wanabodi.

Habari tulizozipata kutoka kwa Wananchi wa Arumeru Mashariki, wanaomba kuuliza mbunge wao Joshua Nassari kafikia wapi kwenye ahadi yake aliyotoa wakati wa kampeni Arumeru Mashariki.

Mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua Nassari alitoa ahadi kwa wapiga kura wake Wananchi wa Arumeru Mashariki, kuwa wakimchagua kuwa mbunge wao Arumeru Mashariki atashusha bei ya sukari ndani ya miezi miwili.

Wananchi wapenda maendeleo Arumeru Mashariki wanahoji lini bei ya sukari itashuka kwenye jimbo lao.

Nasary ni mtoto hajui alilokuwa analisema. we utashusha bei ya sukari jimbo moja tu?
 
Mkuu ritz, wewe na CHADEMA tu! naomba unieleze kwani wewe ndie msemaji wa wananchi wapiga kura wa Arumeru?ulikutana nao lini wakakupa jukumu hilo?Au ni ule ugonjwa wako wa kila siku wa kujikomba kwa watawala bado unakusumbua?Mbona hizi ni propaganda za kitoto kupita kiasi mpaka unajidharirisha! kwani kazi za mbunge ni kupanga bei ya bidhaa? rudi shule jamaa yangu la si hivyo utaendelea kujifedhehesha.

Sasa kama Nassari anayajua hayo yote kwa nini alitoa hiyo ahadi ya kushusha bei ya sukari Arumeru?
 
Safi sana kamanda labda ulivyomjibu wewe anaweza kukuelewa maana nadhani huyu ritz kama alibahatika kufika darasa la 7 basi walimu wake walipata shida sana kumfundisha.

Ndugu yangu mie kwa kweli elimu yangu kama ya Mbowe, labda nikuulize wewe na Endrew Chenge, nani msomi?
 
Wanabodi.

Habari tulizozipata kutoka kwa Wananchi wa Arumeru Mashariki, wanaomba kuuliza mbunge wao Joshua Nassari kafikia wapi kwenye ahadi yake aliyotoa wakati wa kampeni Arumeru Mashariki.

Mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua Nassari alitoa ahadi kwa wapiga kura wake Wananchi wa Arumeru Mashariki, kuwa wakimchagua kuwa mbunge wao Arumeru Mashariki atashusha bei ya sukari ndani ya miezi miwili.

Wananchi wapenda maendeleo Arumeru Mashariki wanahoji lini bei ya sukari itashuka kwenye jimbo lao.
tunampenda mbunge wetu Joshua nassari, tunamwamini na ndio maana tulimchagua unalosema halipo katika ahadi zake toa ujinga wako hapo. chezea Arumeru wewe, wajanja watupu wapo huku ndio maana tuliiondoa ccm na kubaini mbinu zao zote za wizi.
 
Sasa kama Nassari anayajua hayo yote kwa nini alitoa hiyo ahadi ya kushusha bei ya sukari Arumeru?
Ni lini utajadili mambo ya maana katika taifa hili?Akili yako imejaa hila na uzandiki. Huishi kuleta mijadala yakipumbavu. Sio kosa lako bali wanao kutumia ndio wakulaumiwa.Mbona hujawahi kuhoji raisi aliyewahi kutoa ahadi kibao ambazo hazitekelezeki!Raisi na serikali ndio wanao kusanya kodi, ilibidi tuwahoja wao kwanza mbona hawatimizi ahadi zao. Lakini wewe akili yako yote ni Mbowe, Nasari, Lisu, Mnyika, CHADEMA................, lo! hata usingizi hupati!
 
Wewe kwako jambo la maana ni kuisifia Chadema! Hiyo kauli ya Nassari kushusha bei ya sukari wala sio yangu na wala sijazusha kwa wale wanaokumbuka wakati wa kampeni za Arumeru hiyo thread ya Nassari kushusha bei ya sukari ilikuwemo humu JF...tatizo lako Chadema imekutia upofu huwezi kuona kibaya chochote kutoka Chadema.
 
Kama wewe ulivyogongewa kibao usoni na Magamba.
 
Crash wise ,
nakushukuru kwa kumkumbusha Ritz ahadi za Jakaya Mrisho na CCM. Huyu Rtz Nadhani ni hajielewi hivi kweli Mbunge wa Chama cha upinzani anaweza kushusha bei ya Sukari? Hata Kama angekuwa kwenye CCM? Pinda kusema bei isizidi elfu 1700 kwa kilo na hakuna mtu anauza kwa bei hiyo? Ritz amulize Pinda kulikoni?
 
Nadhani wote mmekwenda mbali. Mngemwuliza yeye nani? Joshua yupo jimboni kwake, kwanini wasimwulize huko wamtume yeye? Au ndo mmoja wa wale washili?
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom