KOMBAJR
JF-Expert Member
- Nov 15, 2011
- 5,827
- 1,271
Aliahidi kuwa baada ya miezi miwili bei ya sukari itashuka sasa vipi. Je tuseme alidanganya wananchi?
Ushindi wa dogo janja uliwaacha nyakanyaka na mnatafuta kila njia kuonyesha kwa umma kuwa dogo haifa lakini mwenyewe wameru wanasema Nasari ndiyo chaguo lao na hawataki "Mabakasi"
Hakuna mbunge kijana aliyeweka historia ya kuanza kutekeleza ahadi kabla ya kuapishwa zaidi ya nassari alichimba visima samaria na maroroni sasa nafikiri wewe umetumwa.