YUSUPH SHEKILINDI
JF-Expert Member
- Aug 7, 2013
- 230
- 4
Mwl REGNA yupo HALIMASHAURI YA WILAYA SIMANJARO idara SEC anatafuta mwl wa kubadilishana nae kutoka ARUSHA au KIBAHA-PWANI no 0763706220
0756231236
0756231236
mimi mwlm wa shule ya sekondari handeni mkoa wa tanga natafuta mwl wa kubadilishana nae yeye aje manispaa ya tanga mimi niende manispaa ya moshi. Nina mwaka mmoja kazin nina tsd na nimethibitishwa kazini. Mwenye interest tuwasiliane pleas