Njoo Singida DC niende Same au Mwanga. Elimu msingiNjoo mwanaza Nije Tanga Dodoma pwani...idara mwalim shule yamsingi
Pazeni sauti,nyuzi zinafunguliwa mnajifanya hamuoni,sasa ngoja mnyookeBasi nipe taarifa ata kwa mwaka kesho au kesho kutwa, mana ata sishangai inawezekana ikawa hakuna coz tumekua wahanga wa kunyanyaswaaaa
Wambie wakupe connectionWanaukumbi hivi safari hii mbona mkeka wa majina ya uhamisho hautoki?make naona watu wanapata vibali kimyakimya tu
Labda MWEZI JuneHivi uhamisho mwaka huu majina hayotoki nini?