Mimi ni mwalimu wa sec mbulu- manyara natafuta mtu wa kubadilishana nae aliyeko TANGA, MOROGORO, KIBAHA, MKULANGA, CHALINZE
 
Changamka dau la ukweli ewe mwalimu mpya kabisa 2014! Namtafuta wa kubadilisha nae kituo cha kazi nimepangiwa simiyu- bariadi, idara ya sekondari, tubadilishane aje simiyu mm niende kibaha, bagamoyo, mlandizi, dar, mkuranga. Natangaza chap chap dau kwa yule aliye tayari tuwasiliane no 0688156111
 
Ajira mpya hizooooo mpaka leo sijapata mwalimu wakubasilishana naye kituo cha kazi niko kigoma mjini nataka niende bukoba mjini fanya haraka tubadilishane 0759167576 kwa mawasiliano.
 
Kuna mdogo wangu amepangwa kigoma wilaya ya kakonko anatafuta mtu ambae amepangwa mbeya jiji, mbeya vijijin au kyela ili wabadilishane,
Ambae anataka aende kigoma mawasiliano haya hapa 0752735855
 
umepangiwaa wapi mwalimu coz umetusumbua sana humu..!


QUANTITY SURVEYOR

hahahahaha! Ntarudi kudai posho wallah tena! Dah wamenibwaga huko sitimbi dadeki sifundishi wala nini naenda zangu kulima tarh 30 ndo naenda darasani! Watanikoma!!
 
hahahahaha! Ntarudi kudai posho wallah tena! Dah wamenibwaga huko sitimbi dadeki sifundishi wala nini naenda zangu kulima tarh 30 ndo naenda darasani! Watanikoma!!

Nisingekuona kwenye hii thread ningekunywa sumu. Jirani usisahau kuagana muhimu.
 
Kwanza hongereni kupata post zilizosubiriwa kwa hamu kubwa licha ya mizengwe za hapa na pale lakini hatimaye yametimia.

Naomba kwa mwalimu yeyote ambaye amepangwa mkoa wa KAGERA, Manispaa ya Bukoba(BUKOBA MJINI) angehitaji kubadilishana na mwalimu kutoka JIJI LA MBEYA tafadhali tuwasiliane kwa simu namba: 0756082356 au 0786088394.SHUKRANI.


 
Back
Top Bottom