Njoo mbulu manyara mwalimu aje arusha(Dc) mji, moshi, bagamoyo, kibaha, chalize, mwanza jiji, or dar es salaam idr mcng 0764910615 kwa mawasiliano
 
samahani kwa kuingilia mada yenu alikuwa naombeni msaada kama kuna mtu aliyesikia lolote kuhusu post za vyuo vya afya kuwa zinatoka lini ..
 
Walimu kwa anaetaka kubadilishana kituo cha kazi aje SIMIYU WILAYA YA ITIMILA mim nije Moshi,Arusha,Tanga,Morogoro,kibaha kwa mawasiliano,0713 711330,0714454904,apa nilipo huduma zote za muhimu zipo
 
njoo kasulu mjini nije kaskazini.IDARA YA MSINGI
KILIMANJARO
ARUSHA
MANYARA
BABATI
TANGA
MOROGORO
0753045623///0784623525
 
Njoo Singida nije Mkoa wa (Pwani)- Kibaha mji, Bagamoyo, kisarawe, mkuranga au (Dar es salaam) wilaya yoyote, ni idara ya sekondari, 0689128658
 
Njoo Singida-Mkalama nije mkoa wa (Pwani)-Kibaha mji, Bagamoyo, Mkuranga, Chalinze, Kisarawe au (Dar es salaam)-ILala, Kinondoni,Temeke, ni idara ya sekondari, 0689128658
 
Kuna mwalimu yupo tarime mjini nyamisangula sec anatafuta mwenzake wa kubadilishana nae toka tanga wilaya yoyote
0789865905
 
Mimi mwalimu idara ya msingi nafundisha wilaya ya rombo tarafa ya tarakea mjini,nataka kuhamia wilaya ya moshi vijijini,kwa yeyote aliye tayari tuwasiliane kwa namba 0756530665
 
Back
Top Bottom