weka no. ba
weka no. bas
njoo tanga jiji na mie nije mbozi au momba 0758050020,idara sek
Natafuta mwalimu wa kubadilishana nae kituo cha kazi Idara ya Elimu msingi kutoka wilaya yoyote katika mikoa ifuatayo Tanga, Pwani, Morogoro, kilimanjaro au Manyara.
Mimi nipo wilaya ya sengerema mkoa wa Mwanza.
Kama unafahamiana na mwalim yeyote mwenyeshida kama yangu tafadhali tuwasiliane Inbox
Njoo biharamulo kagera nije bunda mwanza idara ya sekondari nitumie pm