Wahaya wote inawahusu!!!

Asante kwa ushauri wako. Hapa sijaonesha ukabila wowote, linapokuja suala la kijamii kama hili lazimi tuwajibike kwa nafsi zetu.
Nimechaguliwa Bsc. Electrical Engineering, UDSM.

Kwa kuwataja Wahaya ushaweka ukabila.

Mara mia hata ungesema "wenyeji wa mkoa wa Kagera" maana unaweza kukuta mtu ni mwenyeji/mzaliwa wa huko na wala si Muhaya.

Sasa huyu atajisikiaje?

Inabidi ujifunze ustaarabu.
 
Wasalaam wana Jamvi.
Kama wewe ni muhaya au ulizaliwa katika mkoa wa Kagera au una ndugu yako aliyefanikiwa kujiunga na chuo kikuu mwaka 2012/13 basi hii inakuhusu.
Binafsi nimeona ni busara kuwakutanisha wahaya wote tulioko vyuoni na tuliochaguliwa kujiunga na vyuo vikuu au taasisi za elimu ya juu,ili.:
1.Tuweze kupanga mikakati ya kuendeleza wenzetu(wahaya) walioko chini yetu.
2. Tuweze kupanga mikakati ya kuendeleza na kuwasaidia wahaya wenzetu kielimu walioko vijijini na waweze kuwa kama sisi.
3. Kupitisha sheria ndogo kwa wahaya itakayokuwa inawaamuru kila Muhaya kufikia kiwango cha elimu cha angalau shahada ya kwanza.(atleast 1st degree)
4. Kupanga mikakati ya kuiendeleza Kagera kiuchumi na kielimu , na ifikapo 2020 kila kijiji kiwe na graduates wasiopungua 20.
"WAHAYA ELIMU KWANZA"
NB: KAMA WEWE UNA JAMBO LOLOTE LA KUCHANGIA JINSI YA KUFANIKISHA HAYA BASI KARIBU LAKINI KAMA UNATAKA KUTUKANA NA WEWE KARIBU.

Safi sana. Charity starts at home!! Wachagga wana vyama vyao poweful mjini na wanaendeleza kwao. Mikoa mingine iige.
 
Mwalimu Nyerere alipata kunena yafuatayo kwenye chapisho lake la Education for Self Reliance (1967):

["...the few who go to secondary schools are taken many miles away from their homes; they live in enclave, giving permission to go into the town for recreation, but not relating the work of either town or country to their real life – which is lived in the school compound. Later a few people go to university. If they are lucky enough to enter Dar-es-salaam University College they live in comfortable quarters, feed well, and study hard for their Degree. When they have been successful in obtaining it, they know immediately that they will receive a salary of something like £660 per annum. That is what they have been aiming for; they may also have the desire to serve the community, but the idea of service is related to status and the salary which a university education is expected to confer upon its recipient. The salary and status have become a right automatically conferred by the Degree"

"It is wrong of us to criticize the young people for these attitudes. The new university graduate has spent the larger part of his life separated and apart from the masses of Tanzania; his parents may be poor, but he has never fully shared that poverty. He does not really know what it is like to live as a poor peasant. He will be more at home in the world of the educated than he is among his own parents. Only during vacations has he spent time at home, and even he will often find that his parents and relatives support his own conception of his difference, and regard it as wrong that he should live and work as the ordinary person he really is. For the truth is that many of the people in Tanzania have come to regard education as a meaning that a man is too precious for the rough and hard life which the masses of our people still live."]

J.K. Nyerere, Education For Self Reliance, 1967.

Tafakari, chukua hatua.
 
Thats the philosophy of mwl j,k which may not work 2 me and others!watanzania hatuta ishi kwa maneno yaliyotoka kinywani mwa nyerere 2!
 
Kaka sor,we n bonge la MSHAMBA cjawah ona!karne hii unatukuza ajenda za kikabila?!stupid!aaaaaaaaargh!ngoja niondoke kabsa il jukwaa!sheeeet!
 
Looks like haujamwelewa Mwalimu; otherwise what he says is relevant and useful kwa makabila yote Tanzania; anyways, all the best.
 
Kaka sor,we n bonge la MSHAMBA cjawah ona!karne hii unatukuza ajenda za kikabila?!stupid!aaaaaaaaargh!ngoja niondoke kabsa il jukwaa!sheeeet!

Inshallah, yote maisha. Ukabila unaujua wewe.
Yani watu wasiendeleze kwao eti kisa ukabila? Jaribuni kubadilika. Hii inawahusu wahaya tuu, pilipili ya shamb yakuwashia nini? Kajipange!
 
Acheni kumlaumu jamani uwezo wa akili yake unaishia kagera...mbumbumbu utamjua tu!amesahau kuwa kuna nchi kubwa kama US na inahitaji mawazo endelevu ya watu ili kuiendeleza kwa ukubwa wake! alafu yeye mawazo yake yanaishia kuiendeleza kagera, boya bwana!
Watanzania bado 2nayo safari ndefu kufikia panapostahili..
I cant even blv ma ears kusikia mtu anafunza juu ya kuachana na fikra za ukabira Tz!
Hata chuo hupajui..ushaanza mbwembwe?
Hujui kama kuna karai, sup na disco! Vp kuhusu wanachuo 10 wa 5yr udaktari muhimbili walio disco in their last yr! Wewe kimeo kweli..
 
Hivi wewe unanijua vizuri au unaandika kufurahisha fikra zako? Kwa taarifa zako mimi ni zaidi ya uandikayo. Kwani kuandika bandiko hapo juu ndio kosa? Wewe vipi?
Mbona imekukereketa sana? ***** WE!
Na mshamba ni wewe mwenyewe. Do you know me? NJOO OYSTERBAY MKWAWA STREET, ZAMBIA ROAD, HOUSE NO. 0120.
Upo hapo? NYAMBAF
 
wewe kweli mhaya. mia
 
Watani zangu ni watu wanopenda sana kusoma japo si kwa manufaa ila kwa kutafuta sifa na ndio maana kwao hakujaendelea kama ilivyoendelea kaskazini.

Amini nawaambia, huu ni mkakati wa kuambukizana JULIANA. Nyie hamuishiwi sababu.

Tupinge ukabila na akili za namna hii
 
Hivi wewe unanijua vizuri au unaandika kufurahisha fikra zako? Kwa taarifa zako mimi ni zaidi ya uandikayo. Kwani kuandika bandiko hapo juu ndio kosa? Wewe vipi?
Mbona imekukereketa sana? ***** WE!
Na mshamba ni wewe mwenyewe. Do you know me? NJOO OYSTERBAY MKWAWA STREET, ZAMBIA ROAD, HOUSE NO. 0120.
Upo hapo? NYAMBAF

Naona vinyotanyota hapo, ulimpiga 'ka_ye emp_li' nini?

By the way nashukuru kwa anwani, siku zote nimejiuliza ni nani anawalinda hawa wahindi wanaoishi 0120 Zambia Rd, kumbe ni wewe.
 
Hivi wewe unanijua vizuri au unaandika kufurahisha fikra zako? Kwa taarifa zako mimi ni zaidi ya uandikayo. Kwani kuandika bandiko hapo juu ndio kosa? Wewe vipi?
Mbona imekukereketa sana? ***** WE!
Na mshamba ni wewe mwenyewe. Do you know me? NJOO OYSTERBAY MKWAWA STREET, ZAMBIA ROAD, HOUSE NO. 0120.
Upo hapo? NYAMBAF
kwa masifa haya, kweli wewe ni mhaya...ajabu yake sasa huna hata kitu unatembelea ndala tu hapo, mawazo yako yote yapo chini kuwaza wanawake wakati huohuo hujakata govi, kati ya makabila ya kutojisifia ni kabila la wahaya, ndo maana kama wewe mhaya bora ukifika mbele za watu ujitambulishe kama wewe ni mtz tu na si mhaya specifikally, ....lakini tusipoteze muda na huyu kinyangarika, yeye ndo anaanza mwaka wa kwanza chuo kikuu, ....na ndo anaanza kuwaza leo, siku zote alikuwa amelala na hajui kinachoendelea katika karne hii ya 21....sisi wengine huko kwenye vyuo tulishaacha miaka mingi sana na tuna watoto kama yeye...unahitaji maombi na msaada mkubwa sana.

uhayani nimeishi, na juzi nilipita kule kikazi, bora hata umasaini, unakuta mtu amechokaaa kavaa suti na kandambili lakini kiburi sasaaaa, anajiona yeye emetoka new york leo...hahaha. sifuri hizi bwana bora hata ya oooooo, kwa ukabila huu nakutabiria sup nyingi sana chuo, na utatoka na failure mbaya sana, ila nakuombe usidisco kwasababu pamoja na weuzi na govi lako hilo ndo na madem utakosa wote na utakufa kwa presha.
 
We acha mbwembwe huna jeuri kukaa Oysterbay, ingekuwa ya zamani ningeweza kukubalia kidogo, lakin sio Obey ya siku hizi.. huna hiyo jeuri kama unakaa kweli Zambia road niambie nyumba yako iko karibu na nini halafu tuone kama wewe ni mkweli hapo lazima nitakushika kwa maana hicho kitaa mimi mwenyeji na wengi nawajua
 
Kubwa zima, ujinga mtupu. Embu fikiria mke wako na watoto wako wakiona baba lao linabishana na Engineer mtarajiwa kwa matusi watajionaje? Mbona umeshupalia govi? Au ndo umekatwa leo na nini. Inaelekea mkeo alikataa ku do na wewe mpaka ukate govi ndo maana ukachelewa kuzaa mtoto wako wa kwanza.
Muone na sura ka ngeranyuki!
 
We acha mbwembwe huna jeuri kukaa Oysterbay, ingekuwa ya zamani ningeweza kukubalia kidogo, lakin sio Obey ya siku hizi.. huna hiyo jeuri kama unakaa kweli Zambia road niambie nyumba yako iko karibu na nini halafu tuone kama wewe ni mkweli hapo lazima nitakushika kwa maana hicho kitaa mimi mwenyeji na wengi nawajua

Mkuu huyu jamaa kadanganya na akiendelea kuleta habari zake za kipuuzi ntamuumbua hapahapa. mia
 
We acha mbwembwe huna jeuri kukaa Oysterbay, ingekuwa ya zamani ningeweza kukubalia kidogo, lakin sio Obey ya siku hizi.. huna hiyo jeuri kama unakaa kweli Zambia road niambie nyumba yako iko karibu na nini halafu tuone kama wewe ni mkweli hapo lazima nitakushika kwa maana hicho kitaa mimi mwenyeji na wengi nawajua

Ngoja nikusaidie, najua haupajui Oysterbay na ndio maana unadhani huku wanaishi malaika.
Hacha ushamba wewe, mi mzee wangu amekuwa mwajiliwa wa serikali for many years na tumeuziwa nyumba yetu na serikali. Nimekupa anwani yetu, tupo karibu na kituo cha mabasi yaendayo Masaki kinaitwa KONTENA. Na jirani yetu kuna Casino mpya imefunguliwa.
U can't c me!
 
Nkugambilee...wazo zuri ila suala la elimu liko wazi Tanzania nzima tatizo ni umasikini na moyo binafsi wa kujituma.Wahaya mnaweza mkawapondea sana...ila vzur mkuu alishakaribisha sana kwani alijua majungu yapo,alafu lingine n kwamba huwa hakuna Ukabila miongoni mwa mmoja wetu ila kila binadamu ana ubinafsi sema nyie wengine hamkupata nafasi ya kuuonyesha.
 
Back
Top Bottom