Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 71,256
- 105,366
Asante kwa ushauri wako. Hapa sijaonesha ukabila wowote, linapokuja suala la kijamii kama hili lazimi tuwajibike kwa nafsi zetu.
Nimechaguliwa Bsc. Electrical Engineering, UDSM.
Kwa kuwataja Wahaya ushaweka ukabila.
Mara mia hata ungesema "wenyeji wa mkoa wa Kagera" maana unaweza kukuta mtu ni mwenyeji/mzaliwa wa huko na wala si Muhaya.
Sasa huyu atajisikiaje?
Inabidi ujifunze ustaarabu.