Wahaya wote inawahusu!!!

Tuacheni mimi na mtani wangu tuchat nyie hayawahusu, kwanza nina mpango wa kumpeleka jando ili msimcheke.

Mtani twende kazi;
Las Mas Bobos: Omukazi wange, amahela aganaguza ebintu byaitu tugabiike omubenki ki?
JJB: Tugabiike onyuma yo mti.
 
Last edited by a moderator:

Thought you could do bttr than this.
 
Last edited by a moderator:
Ngoja nikusaidie, najua haupajui Oysterbay na ndio maana unadhani huku wanaishi malaika.
Hacha ushamba wewe, mi mzee wangu amekuwa mwajiliwa wa serikali for many years na tumeuziwa nyumba yetu na serikali. Nimekupa anwani yetu, tupo karibu na kituo cha mabasi yaendayo Masaki kinaitwa KONTENA. Na jirani yetu kuna Casino mpya imefunguliwa.
U can't c me!
mzee wako ndo ana nyumba, wewe unayo? ajabu ni kwamba unaringa na kanyumba kamoja ka oystberbay, hujui kama humu ndani kuna watu wana majumba zaidi ya matano masaki, arusha na mahotel kibao...shukuru selikali imewauzia nyumba la sivyo ungeishi migombani kule kagera uliwe na funza....piga shule dogo acha ushamba.
 
Sijaringa na kanyumba ka Oysterbay, nilikua najibu shutuma zako. NAONA HUNA JIPYA. Jipange!
 
Embu niumbue nione, au unataka mimi nikuumbue wewe. AM WAITING!"muhaya elimu kwanza"
sasa kwanini uwazingue member wenzio? sio vizuri bana. mimi hata ukinitaja sioni ubaya lakini cha mhimu jitahidi kuongea ukweli. Mi nakuheshimu sana lakini hii tabia uloanza siiafiki. mia
 
Moja ya Mikoa Maskini nchini ni KAGERA.
Kabila ambalo wengi wao wanaishi Nyumba ya Kupanga ni Wahaya.
Kabila lenye tabia chafu ni Wahaya.
Kabila linaloona misifa ni Wahaya.
Kabila Wanafiki ni Wahaya.

Katerero vipi?

Haya ni maoni yangu Kikatiba.ibara ya 18(1)coz nikiendelea ntapewa BAN bure.
 
Ushauri wa bure
Kama unaona wahaya wanakunyima raha kwa tabia zao na elimu yao basi hama nchi. Kwani wametapakaa mahali pote, Mimi sikutaka ugomvi na mtu nimeleta mada lakini kuna vimbelembele wamekuja kichwa kichwa na kubaka mada isiyo wahusu.
 
Moja ya Mikoa Maskini nchini ni KAGERA.
Kabila ambalo wengi wao wanaishi Nyumba ya Kupanga ni Wahaya.
Kabila lenye tabia chafu ni Wahaya.
Kabila linaloona misifa ni Wahaya.
Kabila Wanafiki ni Wahaya.

Katerero vipi?

Haya ni maoni yangu Kikatiba.ibara ya 18(1)coz nikiendelea ntapewa BAN bure.

Well said, every thng has the best and the worst, zts the worse of hayaz, what about the best?
 
wahaya jamaa wana chuki na majungu balaa afu mademu wao wote ni malay... Afu vilevile isitoshe dingi yako kapigwa libwata ful kuosha vyombo na kufua nguo za mkewe kabla ya kwenda kazn
 
Mleta mada hajaleta ukabila. Ameidentufy kundi ambalo anaamini watamuelewa na anaweza kuassess mafanikio ya mikakati yake. Iwapo lengo alilolieleza litafanikiwa itakuwa ni faida kwa Tanzania.
Ukabila ni kumnyima mtu haki yake na kumpendelea mwingine kwa sababu ya kabila lake. Sidhani kama kuna mtu aliyenyimwa haki kwa mkakati huu kabambe wa maendeleo.
 
wahaya jamaa wana chuki na majungu balaa afu mademu wao wote ni malay... Afu vilevile isitoshe dingi yako kapigwa libwata ful kuosha vyombo na kufua nguo za mkewe kabla ya kwenda kazn

Wewe kumtukana mshua wangu umeanzia wapi? Mtu mwenyewe ndo hivyo tena. Do u have a father? Binafsi baba yangu ameshatangulia mbele ya haki. Heri yako wewe mwenye baba.
 
Moja ya Mikoa Maskini nchini ni KAGERA.
Kabila ambalo wengi wao wanaishi Nyumba ya Kupanga ni Wahaya.
Kabila lenye tabia chafu ni Wahaya.
Kabila linaloona misifa ni Wahaya.
Kabila Wanafiki ni Wahaya.

Katerero vipi?

Haya ni maoni yangu Kikatiba.ibara ya 18(1)coz nikiendelea ntapewa BAN bure.

Sasa si ndio maana mdau ameona aanzishe mkakati wa kuwakomboa. Kwani wewe huwatakii mema wahaya au unapenda waendelee kuw ahivyo ulivyosema?
 
Infakt JJB ni nshomile wa injiniaring, na bado anakaa kwa babayake pale ostabei
Infakt na dada yake kaolewa na mtu mkubwa sana, serikalini kutoka kule kamachum
Infact senene wakitoka bwana mtuletee
Jamani hawa watu nimesoma nao Chuoni ni watata sana sana wana ukabila niliwapenda dada zao lakini nilikoma kwani ni kwanza lazima watangulie wao halafu wakwambie ni dada tu ww endelea, ukizubaa unaweza lisha hata wanaume 6 ukadhani ni ndugu
Nimepangisha dada wa kihaya lo yanayonikuta
 
Kama ni kweli mtu ambaye ana Elimu ya University level na mawazo yake bado ni mgando kwa viwango hivi basi kazi ipo kuifikia Tanzania tuitakayo, maana Taifa limeaccomodate kila aina ya mazuzu.
 
Wewe kumtukana mshua wangu umeanzia wapi? Mtu mwenyewe ndo hivyo tena. Do u have a father? Binafsi baba yangu ameshatangulia mbele ya haki. Heri yako wewe mwenye baba.

Mkuu nakushauri tu uache kujibu hizi thread zenye mauzi
 
Back
Top Bottom