Nambe
JF-Expert Member
- Jan 18, 2011
- 1,451
- 528
wakikua wanakuwa tayar wamelewa chabo...
wanaanza wakiwa wadogo sana.
wanaanza wakiwa wadogo sana.
1..kuoga kwa foleni na choo kiko mbali na nyumba wapangaji na mwenyewe kugombea asubuhi
2..Ijumaa hukosi kigodoro..huko videmu vya kiswazi vinawindana na vidume vyao
3. vyoo vyake shurti ujifunze kichura chura maana ukikata gogo lazima uruke kidogo juu vinginevyo makalio yatakuwa kwenye hali mbaya..
...'
neno kama mse*** ni la kawaida sana kwenye midomo yao,kuwekeana nyimbo za taarabu
Unatembea na mswaki wako ukiwa mdomoni mpaka dukani kununua sigara.
Akiongea sasa, mipovu ya dawa ya mswaki ina tiririka kidevuni.
Uswazi ni Full Vituko asikwambie mtu
wanaanza wakiwa wadogo sana.
mtu ukipita na computer, watu, 'ashh' tulidhania video
mtu unanawa miguu halafu unakanyaga chini
naniiii? na wanaanza nini?
Ukiacha ndoo na maji nje ukaingia ndani hukuti maji
Kupiga chabo,tokea madirishani na vyumbani.NO UKUTA,dirisha ni nyavu tu.
Na ukiachamlango wazi dk 1 tayari wanalamba chochote ndani.
Na ukiachamlango wazi dk 1 tayari wanalamba chochote ndani.
Wezi wa kuchana madirisha wamejaa, hawachelewi kulamba kisimu chako
Wezi wa kuchana madirisha wamejaa, hawachelewi kulamba kisimu chako
Nashukuru maisha yangu yote sijaishi uswazi,lakini ipo siku nimemtembelea msela wangu uswazi tumekaa ndani tunasubiri wali umebanikwa uani , kwenda kuchungulia anarudi anasema jamaa wameiba wali na sufuria lake...............

Kukutana na mwanamama na rollers zake kichani; kajifunga taulo na swaki mdomoni hapo dukani kwa Mangi siyo kitu cha kushangaza!