Uswazi kuna raha zake, wazijua?

aafu yaani hivi ulivyoandika ndio zao wa huko uswazi, askienda kwao likizo ajitia kasahau lugha ya kwao wakati amekulia huku mjini kaja akiwa anatumia 'topaz'! yaani wewe ndio mswazi typical! uswahilini kuna vituko!

sometimes inabidi ucongee ukwel sana bana meza jiwe 2 uta2nyamazshia huyo
 
Kuchukuliana mabwana ndo doooo usiseme, alafu hapa dogo anakunya pale watu wanakula. Hata kwa 250/=tsh siku inapita fresh tu kwa kiazi na mguu wa kuku na kasupu kake kwa mbaliii, alafu huku uswazi mademu hawana tabu kama mimi ndo daaah naivi ndo handsome wa mtaaa, nawanyuka tu. Mashangingi sasa kwenye vichochoro ndo usiseme!
 
1. Mtoto unakuta anachezea condom coz zikitumika zinatupwa ovyo
2.Msichana anakosa hata Tsh 100 ya kuingia banda la video sasa mdhamini uone kama hujagandwa nae.
3.vyumba vya kupanga watu wanashindana milio ya sabufa na miguno ya ngono usiku.

Hapo kwenye red umeniacha bila bila.
 
Kuchukuliana mabwana ndo doooo usiseme, alafu hapa dogo anakunya pale watu wanakula. Hata kwa 250/=tsh siku inapita fresh tu kwa kiazi na mguu wa kuku na kasupu kake kwa mbaliii, alafu huku uswazi mademu hawana tabu kama mimi ndo daaah naivi ndo handsome wa mtaaa, nawanyuka tu. Mashangingi sasa kwenye vichochoro ndo usiseme!

We ndo mkali wa mtaa?ni noma.
 
dah mmenikumbusha miaka hiyo niliishi uswazi!!! nimekumbuka kulikuwa na wazee ambao wao huelewi kazi zao lakini wana familia zao na baadhi hata wake zaidi ya mmoja, hushinda kibarazani wakicheza bao ama wakianagalia wapita njia na ukipita tu ndio topic yao muda huo!!!

uswazi wenye vituko sio watu tu, kuna ndege anaitwa kunguru wa Zanzibar, cha ajabu hawa wadudu huonekana zaidi pia uswahilini hawa huiba hata mboga iwapo mnaipikia nje!!! yaani we acha tu!!
 
Hivi huwa ni kunguru kweli au msemo tu?
 
huko uswazi usinunue gari hata kama ni fifth hand la milioni 3 tu utaonekana tajiri wa kitaa, basi hadhi yako inabadilika, mbwembwe tu mtu ana pochi/ mfuko lakini ufunguo wa gari hautoshi humo kutwa uko mkononi tena umening'inia au juu ya meza ya bar! uliza gari gani eti vitz au kagari 3 doors!!! alarm kibao usipite ukaigusa vingora kama ambulance! mm mie hubaki hoooi
 
Hii tabia walianza jamaa zangu nshomile aka wakatererero.
 
Huku tunafaidi sana picha zilizotafsiriwa kiswahili kutoka Mbagala Colombia kwenye mabanda ya video.

heheheee umenikumbusha miaka ya nyuma kidogo wakati ule bado kuna zile deki zinazoweka makanda makubwa yaleee, basi mtu anakutafsiria movie ya vandamme na sauti lake la kikurya mbona raha tupuu, bc housegirl wangu ulikua humbandui kwenye TV akipata mkanda wa hivyo maana anauelewa mwanzo mwisho... loh umenikumbusha mbaali maundumula
 
Hapo kweli nimekubali mkuu.
 
Back
Top Bottom