Uswazi kuna raha zake, wazijua?

Ulimakafu

JF-Expert Member
Mar 18, 2011
29,026
10,673
Asikuambie mtu kuhusu mambo na matukio ya mitaa ya uswazi..

1.Ugali huiwa mara mija tu saa 9 alasiri na mboga ni moja tu-watoto mida hiyo huwakosi home.
2.Kulala ni chumba kimoja tu,watoto wa kiume na kike humo humo.
..............endelea................
 
Asikuambie mtu kuhusu mambo na matukio ya mitaa ya uswazi..

1.Ugali huiwa mara mija tu saa 9 alasiri na mboga ni moja tu-watoto mida hiyo huwakosi home.
2.Kulala ni chumba kimoja tu,watoto wa kiume na kike humo humo.
..............endelea................

Hii ndiyo raha?
 
3. vyoo vyake shurti ujifunze kichura chura maana ukikata gogo lazima uruke kidogo juu vinginevyo makalio yatakuwa kwenye hali mbaya..
4. mgeni akija akapewa soda basi atarajie kina uncle/aunt kumzonga miguuni huku wakijisemelesha 'hata mie nakunywaga hiyo soda....'
 
1..kuoga kwa foleni na choo kiko mbali na nyumba wapangaji na mwenyewe kugombea asubuhi
2..Ijumaa hukosi kigodoro..huko videmu vya kiswazi vinawindana na vidume vyao
 
Chorus
Hivi ni vituko Uswahilini ebwana eh uswahili kuna vituko oh oh

verse inspector Haroun
Hole wako Uishi nyumba za kupanga yani ndani una sofa luninga misosi kibao ya kumanga! Kwanza utaonekana unalinga vitaanza visa mara kodi ya nyumba kupanda,ole wako simu iite mtaani yani ukipokea tu,yes hallow!! Yani itawaumaaaa!!
 
Unatembea na mswaki wako ukiwa mdomoni mpaka dukani kununua sigara.
Akiongea sasa, mipovu ya dawa ya mswaki ina tiririka kidevuni.
Uswazi ni Full Vituko asikwambie mtu
 
1:nyumba haina slingi bodi, na kitanda kinapiga kelele, so wa vyumba vingine mnajua jamaa muda huu wanachapana huko
2:watoto kuoga ni kwa mbinde ila ukipikwa wali saa 12 na nusu kila mtu kashaoga
3:kula hakuhitaji bajeti kali sana mafungu 2 ya dagaa wa mwanza, nyanya za 200 maji mengi na unga nusu familia ishapona
 
hihihihi uswazi nomaukishangaa unakuta jirani kakudokolea mboga hapa choo hapa watu wanakula kupikia ni vikoridoni yaani uswazi taabu tupu
 
Mchele waanza chambuliwa saa Saba mchana, wali shurti uungwe thoumu ili mtaa wote waelewe!
 
Unatembea na mswaki wako ukiwa mdomoni mpaka dukani kununua sigara.
Akiongea sasa, mipovu ya dawa ya mswaki ina tiririka kidevuni.
Uswazi ni Full Vituko asikwambie mtu

HUku umefunga taulo au khanga ya bi mkubwa.
 
Back
Top Bottom