Uswazi kuna raha zake, wazijua?

hahahahahah uswazi hadi wali dili, wali watakula na sufuria litauzwa...chezea uswazi wewe..... hata ukianika nguo zitabebwa...

Nashukuru maisha yangu yote sijaishi uswazi,lakini ipo siku nimemtembelea msela wangu uswazi tumekaa ndani tunasubiri wali umebanikwa uani , kwenda kuchungulia anarudi anasema jamaa wameiba wali na sufuria lake...............
 
We acha tu,
wa Masaki hapawezi Uswazi.
Kila siku shughuli,watu wanachanga kutunzana,full kigodoro mpaka kunakucha, Full Kiduku.
Gongo linanyweka kama kazi,kubashiana ndo mpango mzima.
Ila Mpoki alishasema,
Daily News haliuzwi Tandale kwa Mtogole

wangu vip?..
eti uswazi maana yake nini kwa kiswahili?...
afu nimekumis ww!
 
wangu vip?..
eti uswazi maana yake nini kwa kiswahili?...
afu nimekumis ww!

Mambo swadakta BAGAH,
Uswaz maana yake ni eneo linalokaliwa na watu wa aina mbalimbali pasipo kufuata mpangilio maalum,i.e wa majengo au namna ya makazi.
Halafu sijakuona siku nyingi,ulibanwa nini?
 
Last edited by a moderator:
Mambo swadakta BAGAH,
Uswaz maana yake ni eneo linalokaliwa na watu wa aina mbalimbali pasipo kufuata mpangilio maalum,i.e wa majengo au namna ya makazi.
Halafu sijakuona siku nyingi,ulibanwa nini?

ahaaaa...
hapo nshakufahamu uzuri wangu...unajua kusomesha!
sijabanwa...nateleza kama samaki mbichi...
labda nijiachilie kwako...lol
 
Last edited by a moderator:
Asikuambie mtu kuhusu mambo na matukio ya mitaa ya uswazi..

1.Ugali huiwa mara mija tu saa 9 alasiri na mboga ni moja tu-watoto mida hiyo huwakosi home.
2.Kulala ni chumba kimoja tu,watoto wa kiume na kike humo humo.
..............endelea................

huku ndio uswahilini...
paka...ungo...vitambaa vyeusi...
ndio michezo yetu!!
 
Attachments

  • MGANGA%2BWA%2BJADI%2BMFAUME%2BALLY%2BAKIWA%2BNA%2BPAKA%2BPIX%2BNO%2B3.JPG
    MGANGA%2BWA%2BJADI%2BMFAUME%2BALLY%2BAKIWA%2BNA%2BPAKA%2BPIX%2BNO%2B3.JPG
    15.2 KB · Views: 50
  • MGANGA%2BWA%2BJADI%2BMFAUME%2BALLY%2BAKIWA%2BNA%2BPAKA%2BPIX%2BNO%2B5.JPG
    MGANGA%2BWA%2BJADI%2BMFAUME%2BALLY%2BAKIWA%2BNA%2BPAKA%2BPIX%2BNO%2B5.JPG
    9.6 KB · Views: 48
ahaaaa...
hapo nshakufahamu uzuri wangu...unajua kusomesha!
sijabanwa...nateleza kama samaki mbichi...
labda nijiachilie kwako...lol

Bhoo!! Kama samaki mbichi?
Hapo upate na tundimu,kipillipili na tuchumvi,mwe halafu urumangie.
Aaa bhana,nakupa somo au we wa Masaki?
Ukijiachia sana utanenepa wangu,afu zoezi litakuwa gumu BAGAH.
 
Last edited by a moderator:
Bhoo!! Kama samaki mbichi?
Hapo upate na tundimu,kipillipili na tuchumvi,mwe halafu urumangie.
Aaa bhana,nakupa somo au we wa Masaki?
Ukijiachia sana utanenepa wangu,afu zoezi litakuwa gumu BAGAH.

achagga iyo ww...
mambo ya zoezi letu lile haiwezi kusumbua...
siku hizi ukiona unapungukiwa tu kidogo unaenda kariakoo..mtaa siukumbuki...unapata mambo...unakunywa unarudi mzigoni...mpyaaa..
 
Last edited by a moderator:
achagga iyo ww...
mambo ya zoezi letu lile haiwezi kusumbua...
siku hizi ukiona unapungukiwa tu kidogo unaenda kariakoo..mtaa siukumbuki...unapata mambo...unakunywa unarudi mzigoni...mpyaaa..

Usinambriie!!
Hebu nelekeze,
au za kiume tu?
We lile zoezi linatakiwa utulie kimwili na kiroho.
Haitakiwi pupa wangu.
 
Asikuambie mtu kuhusu mambo na matukio ya mitaa ya uswazi..

1.Ugali huiwa mara mija tu saa 9 alasiri na mboga ni moja tu-watoto mida hiyo huwakosi home.
2.Kulala ni chumba kimoja tu,watoto wa kiume na kike humo humo.
..............endelea................

Wakati wa kula watoto wanapakuliwa sinia moja. Anayelalamika kunyang'anywa mvoga, mzazi anamshauri naye amnyang'anye mwenzake!

Usishangae kupiga reki katika shughuli za myaani! Inafundishwa ytangu ukiwa mtoto:)
 
Mkuu BAK naomba uturushie nyimbo ya Inspecta Haroon......'mtoto wa geti kali'.
 
Last edited by a moderator:
Uswahilini kuna umoja sana.
Sometimes unakera (ukizidi)
Ila katika hali ya kawaida tuu
napenda ule umoja wa kitaa

Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom