Mlalahoi
JF-Expert Member
- Aug 31, 2006
- 2,182
- 883
Mie najaribu kuwa optimstic this time kwa vile inasemekana JK anapendelea wazo la Dual Citizenship (kwa mujibu wa jamaa wa Foreign Affairs waliokuwa wanamfahamu enzi hizo),na hata katika ziara zake kadhaa nje ameonyesha kuwa hana kipingamizi as such.Ila kwa vile maamuzi mazito katika Afrika husubiri uchaguzi unapokaribia then si ajabu sheria hiyo ikapita 2009.