Ushauri kwa serikali kama kuna wakimbizi wamekaa zaidi ya miaka 5 wapewe Uraia tena bila masharti ili waanze kuchangia kwenye maendeleo badala ya kuwekwa kwenye makambi.
Ni kitu cha kawaida kuwa na Watanzania waliozaliwa nchi nyingine na tayari kuna watoto wamezaliwa Tanzania na wamekuwa kwenye jamii na wanazungumza Kiswahili.
Badala ya kupoteza muda mwingi tuwape Uraia na kuweka utaratibu maalumu wa wakimbizi wapya. Nchi ya Tanzania ni kubwa sana hatuna haja ya kurudisha hawa watu kwao wakati wanaweza kuwa nguvu kazi ya Tanzania.
Tuna maeneo makubwa sana na hawa wakimbizi wanatuza maeneo kuliko hata wamasai wetu. Wapewe Uraia na tuache ubaguzi wa aina yeyote. Kama kuna mtu mtoto wa mkimbizi ameenda kwa system yetu mpaka akawa waziri haina shida maana yeye ni Mtanzania kuliko alivyo mkongo au Mrundi.
Mbona tuna diaspora wengi tu nchi nyinginena kama hizo nchi za Ulaya wameweza kuchukuwa Wakongo kuna shida gani tena kwa sisi ndugu?