Uraia wa nchi mbili: Maendelo na Matokeo yake!

Mie najaribu kuwa optimstic this time kwa vile inasemekana JK anapendelea wazo la Dual Citizenship (kwa mujibu wa jamaa wa Foreign Affairs waliokuwa wanamfahamu enzi hizo),na hata katika ziara zake kadhaa nje ameonyesha kuwa hana kipingamizi as such.Ila kwa vile maamuzi mazito katika Afrika husubiri uchaguzi unapokaribia then si ajabu sheria hiyo ikapita 2009.
 
Wate wetu wagumu sana,muda si big dili at all.Tatizo wanaona nyie mtakuwa wapinzani wa sisiem nadhani hilo ndilo tatizo kuwa,nyie mtakuwa chadema,kafu,ti el pi,n sisiara mageuzi nk
 
Waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania, Benard Membe amewasilisha bajeti yake bungeni.

Katika suala la Uraia wa nchi mbili miongoni mwa hoja za kuzingatiwa amesema ni vyema watanzania wakajiuliza maswali mawili muhimu wakati serikali ikijiandaa kuwasilisha muswada wa DUAL NATIONALITY:

1. Je ni sawa kumuadhibu mtanzania aliyeko nje ya nchi inapotokea amechukua uraia wa nchi nyingine kwa kumnyima uraia wake na hivyo kushindwa kunufaika nae tena baada ya hapo?

2. Je kama inawezekana kwa wageni waliofuata masharti ya Tanzania kupewa uraia kwetu TZ kwanini tuwanyime watanzania wetu waliofuata masharti huko walipo na kupata uraia wa nchi walizonazo?

I think these tests are positive and they all lead to one way....implementation of the dual nationality policy
 
It really makes no sense to deny someone his/her birth rights simply because s/he acquired paper citizenship from some other place, mainly for self advancement reasons.
 
Its time for dual citizenship. There should be no more delays about this issue.
 
Tunaweza kuongeza maswali mengine pia, kama vile:

1. Je, suala la uraia wa nchi mbili ni muhimu kwa taifa kwa kiasi gani?

2. Inawezekana kuwa na uraia wa nchi zaidi ya mbili, i.e. badala ya kuzungumzia nchi mbili tu, tunaweza kuzungumzia nchi nyingi zaidi ili tufaidike zaidi kama kuna faida?

3. Uzito wa hoja ya uraia ipo kwenye haki binafsi (human rights issue) au uchumi kwa taifa (national economy)?
 
Sikubaliani na notion ya dual-citizenship. Sikubaliani na mtu kuwa na uraia wa nchi mbili kabisa, tena ukiwa kama raia wa Tanzania by birth. Na mpaka leo sijapata sababu zinazoonyesha umuhimu haswa wa kuwa na uraia wa nchi mbili.

Sana sana naona watu wanataka mteremko tu. Kama mtu anahitaji kufanya "so called investments" pale Tanzania, njoo/ nenda tu ka-invest, abide with rules, laws and regulations za nchi hiyo as far as "uwekezaji" is concerned. Njoo tu u-invest ukiwa kama "foreigner", kama dili lako linalipa tutakukaribisha tu. Maisha yanaendelea. Tanzania bado ni nchi inaendelea, haya mambo ya kuwa na mauraia mengi mengi tuwaachie wataifa yaliyoendelea, they have less to gain and we have much to lose. Sijaona kitu kisichoweza kufanyika au kushindwa kutimizwa na mtu kwa sababu tu, ana uraia wa nchi moja na si nchi husika.

I stand to be corrected, but, TANZANIA DOES NOT NEED DUAL CITIZENSHIP, NOT NOW. I hope to God this doesn't go through!
 
Time has come for dual citizenship!!Wanaosema hawakubaliani ni kwa sababu tu wao,wape ndani ya nchi,hawawezi kuona mambo yaliyonje ya nchi.Na ninaamini kabisa,amabo wataki uraia wa nchi mbili ni CHADEMA"wanatumiwa"
 
Irrelevant! Not to mention, Ludicrous!
 
Mhhh...mbona wataka kuanza ugomvi...yaani maoni ya mwenzio unayaita upuuzi..? We Kisura wewe...
 
Very interesting mjadala.

Mi ninachoweza kuandika hapa ni kwamba, sihitaji uraia wa nchi nyingine, lakini vile vile sioni kwa nini serikali ikataze watu wasiwe na dual citizenship. Watu wamekwenda nje kujitafutia riziki. Period. au tunafurahi tunapoona wachache wanafaidi jasho letu na maelfu ya vijana wana piga deiwaka mjini? wakiomba fegi? waacheni kama wana namna ya kuikimbia nchi na wakifika huko wakakumbuka kwao kwa kusupport familia zao, ubaya uko wapi? Watanzania tuamke tuache WIVU kama watu wamehangaika kupitia conventional na non-conventional means wakafanikiwa kwa nini tuwe na roho ya kwanini? especially kuhusu swala la kwenda njee.

Right, wengine wamezamia, wengine wamekuja huku ndo ikawa hivyo wakajiestablish huku, jamani, whats wrong kuwaruhusu kuwa na uraia wa nchi mbili? Hawa wahindi kibao walioko Tanzania wana uraia wa India, UK, USA na wana-repatriate hela zetu kama kawaida! hawa ndo wazelendo tunaowaongelea? Kwa nini Watz/Waafrika tuko tayari kuona aneyefanikiwa ni mwinnge lakini asiwe mwenzetu? Africans we have along way to match!

Mwanakijiji, sio kila kitu Nyerere alichokisema kinaconstitute basis ya taifa letu, yeye alikuwa ni binadamu kama sisi kuna mema mengi aliyafanya na kuna mengine mengi alichemka! na impact tunaishi nayo mpaka leo. Ni vema kuliko kuwa na fikra mgando, tubadilike na kile kinachoweza kutuletea tija kama taifa na sio kujustify vitu kwa theories za mwaka 60! na kutumia maneno matamu ya uzalendo kuumiza wale wenye nia ya kujikomboa kwenye huu umaskini wa kutisha.

Well, nchi ambazo zimeruhusu huu mfumo, zimeathirika vipi? huo uzalendo tunaoupigia kelele siku zote, nani mzalendo Tanzania?niambieni!!! who is a patriot? wanaoiba mabillion BOT na mikataba feki au? au wanao kaa Tanzania wakifanya kazi serikalini, ndo wazalendo?, tuache unafiki!!! kama hii itawasadia wachache, let it be, after all hao wachache ni watanzania bado. Lets wake up...jamani hili halihitaji mtu kwenda darasani! Naamini Law reform Commission wameshatumia mabillion ya kodi zetu kuzungukia nchi kibao ambao wana hii dual nationality, kwa hiyo wao kupendekeza hili swala serikalini wameona impact yake.

I dont want to dismiss those who don t agree with this, lakini ukweli unabaki pale pale, wengi ambao hawataki hii kitu ni kwa sababu ya ROHO YA KWANINI! Watanzania tubadilike tukubali kwamba we either live together as brothers and sisters or perish together as fools!!! And Iam afraid, the latter is more appealing option for most of us.
 
Very interesting! Mimi binafsi sitakuja kuchukua uraia wa nchi nyingine lakini wakati huohuo sioni ubaya na wala sipingi kwa nini Watanzania wengine wasiwe nao kama wanataka. Sababu za kuwa na uraia wa nchi mbili zipo nyingi tu mojawapo ikiwa ni ya kifamilia (mume/ mke wa taifa jingine na watoto waliozaliwa nje ya nchi na mmoja wa wazazi ni Mtanzania). Cha muhimu hapa ni kuwa na sheria zinazotupa mwongozo mzuri katika muktadha wa maslahi ya taifa. Kwa mfano viongozi wa ngazi za juu serikalini na vitengo vingine nyeti ni lazima wawe wazaliwa wa Tanzania na wasioshikilia uraia wa nchi nyingine. Kuna ugumu gani hapo? Hata nchi ambazo zinaruhusu uraia wa nchi mbili na zenyewe zina sheria kuhusu mazingira hayo. Watu hawajichukulii uraia kiholelaholela tu!

Nirudi kwa hawa Wadosi, unajua hilo suala la wao kushikilia uraia wa nchi zaidi ya moja kwa sababu fulani fulani lilikuwa halijakatiza mawazoni mwangu pamoja na kusoma nao na kuwasikia wakisema wana uraia wa Canada na Uingereza. How do they get away with it if we don't have dual citizenship? Au wana uraia wa India na nchi zingine na si Tanzania lakini wanaishi Tanzania
?
 
Nimesikiliza kwa umakini maoni ya Waziri, kamati, kundi la upinzani na wachangiaji kadhaa.

Kwanza inasikitisha sana uchangiaji wa wabunge wetu.

Baada ya kusikiliza kwa muda nadhani kwa kiasi fulani ni Mama Shelukindo tu ndiye aliyejitahidi kuwa articulate ingawa U-CCM ulikuwa unambana kutoa mchango mkali zaidi.

Ndugu zangu wa upinzani nawapa pole...kazi bado kubwa mno...

Tukirudi katika suala la Uraia wa nchi mbili ni muhimu kujua some of complexities zinazolizunguka suala hili.

Moja ni lile la kile kinachoita "usalama wa maslahi ya Taifa", lipo lile la kuwa yote haya ni kwa maslahi ya wanafamilia wa wakubwa ambao wengi ndio wameloea ughaibuni na lipo lile la jamaa zangu wahafidhina wa maslahi ya kisiasa kule visiwani ambao wanaamini kuwa uraia wa nchi mbili ni kukaribisha "wakorofi" walio nje (Scandinavia, London, Dubai etc)kurudi na kubadili hali ya kisiasa.

Kuhusu suala la kuhatarisha maslahi ya nchi kwa uwezekano wa kuathirika na tatizo la duala loyalty naamini kuna haja kuangalia jinsi ya kucounter hiyo threat kwa kuwa na mfumo unaotoa limited access to dual citizenship na sio kukataa kabisa suala hilo. Hili linawezekana kwa kutoa haki ya dual citizenship kwa wale waliowahi kuwa watanzani hapo kabla na sio kwa kila mtu atakaye. Vilevile tunawezeka kuweka viwango vya haki za mtu aliye na dual citizenship haswa katika masuala ya kuchukua nafasi nyeti katika siasa na serikali yetu. Siamini kama itakuwa busara kwa mtu aliye na dual citizeship aruhusiwe kugombea Udiwani, Ubunge ama Urais. Siamini kama itakuwa ni busara kutoa access kwa wenye dual citizenship katika taarifa nyeti za kiserekali na hata kushika nafasi za uongozi wa juu katika asasi zetu za ulinzi na usalama unless kuwa na dual citizenship ni moja ya mahitaji ya kuwezesha utendaji wake.

Lakini vilevile naamini ni muhimu sheria hii kupewa muda maalum wa kutumika labda miaka kumi halafu kufanya mjadala mwengine wakati huo ili kuangalia faida na mapungufu yake kabla ya kuunda upya sheria nyingine tutakayoweza kuendelea nayo kama itaonekana kuna umuhimu wa kufanya hivyo kutokana na tulichojifunza katika miaka kumi hiyo.

Hili la kusaidia wanafamilia wa wenye nchi ni suala la ndani kwao lakini wanapaswa kujua watanzania wa kawaida wana muono huo hivyo kuna umuhimu wa kulijadili kwa uwazi.

Nawakilisha..

Tanzanianjema
 
Very interesting mjadala.

Mi ninachoweza kuandika hapa ni kwamba, sihitaji uraia wa nchi nyingine, lakini vile vile sioni kwa nini serikali ikataze watu wasiwe na dual citizenship. Watu wamekwenda nje kujitafutia riziki. Period. au tunafurahi tunapoona wachache wanafaidi jasho letu na maelfu ya vijana wana piga deiwaka mjini? wakiomba fegi? waacheni kama wana namna ya kuikimbia nchi na wakifika huko wakakumbuka kwao kwa kusupport familia zao, ubaya uko wapi? Watanzania tuamke tuache WIVU kama watu wamehangaika kupitia conventional na non-conventional means wakafanikiwa kwa nini tuwe na roho ya kwanini? especially kuhusu swala la kwenda njee.

Do you need dual-citizenship to support your family? This is beyond me!

Right, wengine wamezamia, wengine wamekuja huku ndo ikawa hivyo wakajiestablish huku, jamani, whats wrong kuwaruhusu kuwa na uraia wa nchi mbili? Hawa wahindi kibao walioko Tanzania wana uraia wa India, UK, USA na wana-repatriate hela zetu kama kawaida! hawa ndo wazelendo tunaowaongelea? Kwa nini Watz/Waafrika tuko tayari kuona aneyefanikiwa ni mwinnge lakini asiwe mwenzetu? Africans we have along way to match!

Tukiruhusu dual ctizenship, wahindi na wengine wengi duniani watachukua uraia Tanzania, zaidi ya hata hao wachache ambao wapo Tanzania. Sasa kitu gani kitabaki hapo Bongo, tunawajua jinsi wanavyo-operate na bishara. Hicho kidogo kilichokuwepo/ tulichonacho si ndio kitaondoka chote, na watabea profit na surplus yote na kuhamishia Nchi za magharibi. Je tuna uhakika gani watanzania wanaotaka dual citizenship watuletea maendeleo na faida kwa Tanzania as a nation????? Au sisi tunachifikiria ni kuwapa mteremko hiyo asilimia ndogo ya watanzania iliyopo nje ya nchi ka kuwa-please? eti tu kwasababu ni wasomi?! Hii ishu haiwahusu tu waTanzania, tukifungua milango yetu, tutaruhusu kila mtu duniani anayenyemelea Tanzania urahisi wa kutushughulikia kwa kutuumiza.

Well, nchi ambazo zimeruhusu huu mfumo, zimeathirika vipi? huo uzalendo tunaoupigia kelele siku zote, nani mzalendo Tanzania?niambieni!!! who is a patriot? wanaoiba mabillion BOT na mikataba feki au? au wanao kaa Tanzania wakifanya kazi serikalini, ndo wazalendo?, tuache unafiki!!! kama hii itawasadia wachache, let it be, after all hao wachache ni watanzania bado. Lets wake up...jamani hili halihitaji mtu kwenda darasani! Naamini Law reform Commission wameshatumia mabillion ya kodi zetu kuzungukia nchi kibao ambao wana hii dual nationality, kwa hiyo wao kupendekeza hili swala serikalini wameona impact yake.!

Sasa kwasababu kuna majambazi ndani ya nchi (BOT, Mikataba feki n.k ) ndio tuzidi kufungua milango yetu tu kwa yeyote anayetaka kuja kutuibia kisawasaa aje tu? Ndio tunarudi kule kule kwenye minofu ya samaki n.k, tutakuwa tunasikia tu ndege zinakuja na kupaa na kuondoka na kila kitu, wasukuma na wazawa wa maeneo jirani kutofaidika -- na kama what we saw then was/is bad, you wait until the thing is passed, we will be in for a very rude awakening!

I dont want to dismiss those who don t agree with this, lakini ukweli unabaki pale pale, wengi ambao hawataki hii kitu ni kwa sababu ya ROHO YA KWANINI! Watanzania tubadilike tukubali kwamba we either live together as brothers and sisters or perish together as fools!!! And Iam afraid, the latter is more appealing option for most of us.

I don't dismiss those who are for dual citizenship either, hakuna roho ya kwanini wala nini, the truth of the matter is, there's no reasons to suggest or prove that, by agreeing to dual citizenship, Tanzania will benefit greatly. The theory is suggesting losing more than gaining. Na mpaka sasa sijaona reason to suggest and make me believe otherwise.

***WaTanzania kwa kweli saa nyingine tunachoshana tu, yaani nchi yetu ilivyona malialisi, madini n.k, siku zote tumeshindwa kuendeleza nchi, leo hii tunaona kupata uraia wa nchi nyingine ndio kutawezesha ku-transform a country? How? Kwa kuleta mlichopata huku nchi za nje? Kwanza ni asilimia ngapi ya waTanzania inataka kuleta mafanikio haya? Tafadhalini jamani, hiyo wealth wengine wanazungumzia kwamba wataileta Tanzania, wealthy gani hiyo mnazungumzia? Investment gani hizo mnazungumzia ambazo hamuwezi kuzifanya ukiwa na uraia wa nchi moja? Tumeshindwa ku-utilize what is currently in Tanzania tuendelee, na leo mnazungumzia ku-transfer wealth and knowledge from Western worlds??? and according to some of you, can only be done through dual citizenship??? Please! Hizo green cards mnazo-hold(in this case, US), they allow you to do a lot of things, except voting for president and may be few exceptions. So whats stopping you from investing in Tanzania while you are still a US resident? Au nyie ni kile kitabu cha bluu tuu ndio kinawapa maluweluwe? I'm speechless!
 
1. Being a citizen of Tanzania is my birthright,and no one, repeat, no one has a right to take it away without my consent. It is death alone that will end it.

2. As a free human being, I have a right to choose, and one of my choices is to safeguard my interests; including that of acquiring citizenship of another country if that is where my self interests derive from; or marrying whomever a choose (a woman of course). No one has a right to question my patriotism for doing so, as long as I'm operating within the law. If it is a bad law, change it.

I know these are controversial statements, but that is how I feel after reading through the various objecting contributions posted above.

I resent it when someone questions my patriotism to my country, who then turns around and grants citizenship to someone who has lined his pockets. What kind of patriotism is that?
 
Uraia msingi wake ni nini? Nyerere aliseme "Loyalty to the country" wenzangu mnafikiri msingi wa uraia ni nini?
 
19 Reactions
Reply
Back
Top Bottom