Masanja
JF-Expert Member
- Aug 1, 2007
- 4,809
- 8,861
Mwanakijiji nani alisema kwamba definition au mawazo ya Nyerere daima yatakuwa sahihi?
Kisura, naheshimu sana uhuru wako wa kutoa mawazo na kama muungwana Mwnakjj alivyoainisha kwenye mtundiko wake mwingine, tunaweza kukubaliana kutokubaliana. na nitaheshimu uhuru wako-daima. Ndo JF hiyo where we dare talk openly.
Honestly, mi naomba unipe sababu kubwa kwa nini unapinga uraia wa nchi mbili zaidi ya hizi non-existent reasons za maslahi ya taifa? ambazo wanasiasa wamezitumia miaka yote kutukandimiza kwenye lindi la umaskini? Maslahi ya taifa ni yapi? nani anayasimamia? Hao wageni unaowasema kuja kutuibia, kama ni kuja walishakuja na kuiba na wanaendelea kuiba saana tuu. Mimi ninachokiona humu ni kwamba wenye nacho hawataki wengine wapate. Acheni watu watafute pande zote za dunia from Belize to Singapore.
Na ninakuhakikishia siyo kila aliyeko nje anataka kuishi huko daima, wengi wangependa kuja nyumbani wafanye mambo yao kama ni kuwekeza au mengineyo. Wewe unafikiria Green Card au passport, watu wanaamua kuchukua hizi documents kurahisisha maisha yao, kwa sababu raia wenzetu walio kabidhiwa ridhaa ya kutuongoza ni wanafiki na wazandiki. Sio kila mtu atakuwa mwanasiasa, wengi wangependa wanasiasa watengeneze mazingira bora kwa kila mtanzania/mtafutaji afanikiwe na si vinginevyo.
Narudia tena, hili swala linawagusa wenzetu walioko nje na ndani ya nchi na kama jamaa alivyosema hapo juu, uraia ni haki ya msingi na kinachoendelea hapa, hii hoja inahujumiwa na watu wachache wanaofikira maslahi ya mda mfupi kwa kuogopa kwamba watapata competetion kutoka kwa "wasomi huko nje". As I said sihitaji uraia wa nchi mbili, personally, ila naamini hata nisipo faidika mimi vizazi vijavyo vitafaidika na ndo maana serikali imegundua kwamba hii sera haimsaidii yeyote! Ndo maana Membe hatimaye amelikubali hili. After all si mara mia wangetuibia watanzania wenye dual citizenship kuliko hawa wenzetu wenye asili ya kihindi na kizunngu wanaochukua kidogo tulichonacho kupeleka kwao?
Bwana kwangu mimi as long as kitu kitamsaidia mtanzania mwenzangu hata kama hakitanisaidia, Tuache kimsaidie! Tuache unafiki wa kuimba maslahi ya taifa kumbe ni maslahi ya Lowassa na wenzake wachache.