Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 877
- 4,106
Kuna makosa tumefanya kama nchi, zamani ombi la uraia lazima ulipeleke kwenye kamati za ulinzi na usalama na ilikuwa vigumu sana kupata uraia.
Alipopewa wizara Laurence Masha akapokonya hayo madaraka madaraka akawa anatoa uraia yeye pale anapojisikia. Mawaziri waliofutwa nao wakawa wanafanya hivyo. Leo hii hakuna umuhimu wakupitisha ombi huko badala yake Waziri anaamua anavyoona yeye inafaa.
Kwa kauli ya CDF hatuoni kwamba ni muda sasa maombi yote ya Uraia yakaanzia kwenye kata, wilaya na Mkoa kabla ya kufika kwa waziri? Je siyo muda muafaka sasa kwenda kuangalia Mh. Waziri ofisini kwake ana watu wangapi wamepeleka maombi ya Uraia na kwanini wamekwepa kamati za ulinzi na usalama?
My cousin ilimchukua 15 yrs anafuatilia uraia wa mume wake ambaye alikuwa na fedha na uwekezaji mkubwa lakini Kamati ya ulinzi na usalama Mwanza ilimkatalia with facts hadi alipotimiza masharti lakini pia walipoona amezeeka na ana muda mfupi kuishi ndipo wakamkubalia aandikishwe kama RAIA. Kwanini tumeacha hii misingi ya vetting?
Kwani uraia wa Tanzania una haraka? Is it ana emergency hadi kumkabidhi dhamana mtu mmoja? Let assume waziri wa mambo ya ndani ni kama alivyokuwa Kangi Lugola......kwa zile akili aliwapa wageni wangapi uraia?
Lakini pia nimeona one of my friend alipata uraia kwa kilichoitwa kuhalalisha Utanzania. Huyu bwana alidanganya akapata pasipoti, baadaye akakamatwa kwa kudanganya. Wakati anakaribia kufikishwa mahakamani nikiwa nimemwekea dhamana akafanikiwa kwenda kwa mwanasiasa mmoja it was last year.
Alipokwenda huko ikapigwa simu Uhamiaji yule bwana akaambiwa akatipoti Kurasini. Alipofika Kurasini pamoja uhalifu wake wote akapewa fomu za uraia then after 3 months akapewa cheti cha uraia. Je, kuna uraia unatolewa kwa mgeni aliyegushi nyaraka za Tanzania? Kwa sheria gani ambayo mtu anagushi nyaraka then akikamatwa anapewa na uraia? That guy gave that politician only 35 Milion to be registered as Tanzania citizen.
Wanasiasa wasipopokonywa mamlaka za kisheria walizopewa tutaendelea kuwalaumu watumishi wa umma kumbe wanapokea amri tu.
Tulinde nchi yetu kwa kufanya mabadiliko ya sheria na Katiba ..wanasiasa wataangamiza nchi kama alivyotaadgarisha CDF