Kisura
JF-Expert Member
- Jun 21, 2007
- 364
- 26
Bwana Masanja,Honestly, mi naomba unipe sababu kubwa kwa nini unapinga uraia wa nchi mbili zaidi ya hizi non-existent reasons za maslahi ya taifa? ambazo wanasiasa wamezitumia miaka yote kutukandimiza kwenye lindi la umaskini? Maslahi ya taifa ni yapi? nani anayasimamia? Hao wageni unaowasema kuja kutuibia, kama ni kuja walishakuja na kuiba na wanaendelea kuiba saana tuu. Mimi ninachokiona humu ni kwamba wenye nacho hawataki wengine wapate. Acheni watu watafute pande zote za dunia from Belize to Singapore.
I don't mean to pick on you, nimeona nikujibu tu kwa maswali machache. Naheshimu sana mawazo ya kila mtu. Niko hapa kupata majibu ya machache yanayonisumbua. Anyhow...
Labda ungeanza kwa kunipa sababu za kunieleza faida za duo citizenship zaidi ya kuwafaidisha wasio watanzania kwa kuwapa citizenship by naturalization. Na zaidi kwa waTanzania ambao watapata flexibility za kusafiri na nini na nini. Is that really all there is to it? Na Uwekezaji? Hapa kwa kweli bado hamjanisomesha. Umesema wanasiasa waliopo wameshaituibia, no doubt they have, lakini si ndio sisi vijana tunaanza kuingia kwenye system, baby boomers si wameanza kuondoka kama sio kufariki?(RIP), sasa kinachoogopesha nini. Kwanini tusishughulikie kubadilisha mambo Tanzania badala ya kufungua milango kwa watu wa nje? Kwani hao wawekezaji ambao tayari wapo Tanzania wanatufaidisha na nini? Ni hizo 3% royalty za madini?? Swali langu linabaki pale ale, NI KITU GANI HAKIWEZI KUFANYIKA MPAKA MHUSIKA AWE NA RAIA WA NCHI MBILI? Nielimisheni kwa hilo tu.
Watanzania tunapenda mterememko and are very good at finding easy way out/in. Na ndio maana mwapigania uraia wa nchi mbili. Lakini ukweli ni kwamba kwa mataifa yanayotuzidi ujanja, ndio watafaidika na uraia huu. WaTanzania maneno yetu mengi, hakuna cha uwekezaji wala nini, mmeshindwa kufanya mkiwa na, and I repeat green cards with every right, sasa mnsema mpaka muwe na Uraia ndio mtaweza, I m sorry, no offence people, but this reasoning is a load of crap!
Halafu kuna mheshimiwa hapo nyuma anaongea "patriotism", big words! You talk patriotism and duo citizenship? Somebody please tell me, whats the honor in that?!?
Bwana kwangu mimi as long as kitu kitamsaidia mtanzania mwenzangu hata kama hakitanisaidia, Tuache kimsaidie! Tuache unafiki wa kuimba maslahi ya taifa kumbe ni maslahi ya Lowassa na wenzake wachache.
Ukweli ni kwamba hili suala halitasaidia waTanzania, zaidi litawapa faidi watakao assume u-Tanzania baada ya muswada huu kupitishwa.